Diamond ajisalimisha Polisi baada ya kuvunja sheria za Barabarani

Anakujua nani? Haitakuwa na faida yeyote, ila mond kwasababu ni superstar hiyo inawasaidia vijana wengine kujifunza kutoka kwake
 
Anhaa,nimeshituka nilifikiri ni muendelezo wa issue ya Makond*
 
Naona nifah mtoto wa kariakoo Dada, sake na kibakuli anajaribu kuzungusha maneno wakati ukwelu anaujua
 
Aliendesha gari akaachia usukani akawa anacheza.
Video aliirusha kwenye media, hapo anaandikiwa faini
 
Diamond alifanya vizuri kupeleka majina ya wanaomtuma kumbebesha madawa yao. Hongera sana Diamond kushituka maana mapapa pamoja na viongozi serikalini wanakutumia sana. Hili liwe fundisho kwa wasanii wengine. [HASHTAG]#tanzaniabilamadawainawezekana[/HASHTAG]
 
mkishusha bendera ya taifa

mnategemea tutatambulikaje jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…