Mwachen diamond wetuSio kweli kosa la diamond alikuwa anaendesha gali hajafunga mkanda akicheza mziki, alafu video alipost zari instagram
Kumbuka hakwenda mwenyewe ameitwa na kaenda.Diamond ni kioo cha jamii.. Makosa aliyofanya public watu wengi wanaweza kumuiga.. Hivyo kulipa faini public inawafundisha pia watu kutii sheria za barabarani. Nina hakika kwa alichokifanya watu wengi sasa wataachaa hii tabia haswa wadada na wasanii wengine kujirecord wakiwa barabarani.Napongeza sana jeshi la police hapo.
Angetakiwa apige picha akiwa ameshika bango la kosa lake kama wengineJeshi la police linapotumika kutoa kiki kwa msanii.. Toka lini police wameanza kupiga picha na mtuhumiwa aliyeendesha gari bila kufunga mkanda?
Hii ni Double standard Wale wengine waliofanya kosa kama lake walipandishwa kizimbani hata dhamana hawakupewa.Yani kitendo chao cha kuwekwa ndani tayari ilikuwa kampeni tosha wewe huoni kuwa imesambaa hadi humu ndani ulikuwa mjadara mkubwa na picha juu.
Sasa angelipa faini tu akaondoka tungelijua wapi lakini hizo picha si unaona hata mwenyewe kazipost na ujumbe murua kabisa wa kutukumbusha kufunga mkanda tofauti na madawa kukamatwa kwao tu ilikuwa gumzo na watu wanaofanya walianza kaa chonjo.
Ila ingekuwa mimi ndiye nimepiga picha nikapost hata zisingekuwa na impact.
Ingekuwa mimi ndiye niliwekwa ndani kwa ajili ya tuhuma za dawa hata isingekuwa na impact and no body would have known labda watu wangu wa karibu.
Hii ndiyo tofauti ya mtu mashuhuri na wengine na ndiyo maana hata makampuni yakitaka matangazo yanatafuta watu mashuhuri japo wanawalipa pesa kubwa tofauti na wangemtumia mtu wa kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mhalifu anaenda kupiga picha na polisi. Si amethibitika kuwa ni mkosaji na amepigwa faini. Kwa hiyo baada ya hapo ni muda wa picha.
Daah ngoja na mm siku nakamatwa baada ya kupigwa faini ntamuomba trafiki nipige nae picha.. sijui ataniongezea faini
Wale walikuwa wanaendesha public transport ndugu... lile ni bus la abiria.Hii ni Double standard Wale wengine waliofanya kosa kama lake walipandishwa kizimbani hata dhamana hawakupewa.