Diamond akana kumpigia magoti Zari ili warudiane

Diamond akana kumpigia magoti Zari ili warudiane

IMG_20180531_111848.jpg

Kwahiyo kupiga picha watoto wake ndo show-off?!

Akili zingine bhana.
 
Hahahaa Mbuguni nilikuwepo 2008 sijabahatika kupata jiwe nikaachana nayo kwa sasa nakomaa na mkaa tu unalipa,mambo ya kukaa chini ya ardhi kutafuta kitu kisichonekana siyataki.

Mkuu King Kong III mi mwenyewe mbona biashara hio nilifanya sana.... mapori ya mwidu, bwawani, lulenge, dunia ya mwisho nimeliwa sana na mbumo.
 
Mkuu King Kong III mi mwenyewe mbona biashara hio nilifanya sana.... mapori ya mwidu, bwawani, lulenge, dunia ya mwisho nimeliwa sana na mbumo.
Mbona umeacha? Au Unafanya mishe nyingine? Mie nakomaa natafuta msingi nianzishe Duka la Jumla na Vifaa vya ujenzi(Hardware).
 
M
Haahahaha kajamaa kajinga kweli,, nawanaume wajifunze , kuna mwanamke ukiachana naye. Nisawa nakwamba umeamua kupishana na Furaha !!.

Huyu jamaa hata afanye nn. Hata atembee na nani?? Hatokaa asimfikirie Zary. Sikwasababu wamezaa, bali nikwasababu anajua Zary ndio alikua mtu sahihi ila.ndooo zileee "am a superstar"
i huwa nawashangaa sana wabongo..unasemaje mtu amepishana na furaha?nyie mlishawahi kishi na Zari na Diamond nyumba moja?mlikuwa mnayajua ya ndani kwao au mnajudge kutokana na mnachokiona mtandaoni?...Mvaaji wa kiatu pekee ndo anayejua wapi kiatu kinambana...Leave Dee and Zee alone
 
100% correct
 
Jamaa asipojiangalia atakuja kuwa na mwisho mbaya sana. Na alivyo na akili ndogo na elimu zero, Atakuja kufulia huku akiandamwa na MADENI na KESI ZA KUFA PUNDA.
- KESI ZA MASLAHI kutoka kwa kina MABETO, HARMONIZE, ZARI, WATOTO, SALLAM SK, TALE, BIMA ZA NYUMBA n.k na wakati huo amebaki peke yake na mama yake tu !
Ana kesi na Harmonize?
 
Back
Top Bottom