Kwahiyo kupiga picha watoto wake ndo show-off?!Jaman ee wanafiki wana shida daah dai kwa kupenda show off aende kuona watoto bila kuwapiga picha pyeeeeeeee.
Akili zingine bhana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kupiga picha watoto wake ndo show-off?!Jaman ee wanafiki wana shida daah dai kwa kupenda show off aende kuona watoto bila kuwapiga picha pyeeeeeeee.
Kwahiyo kupiga picha watoto wake ndo show-off?!
Akili zingine bhana.
Umeshindwa kujibu kwa sababu unafahamu umeongea pumba.
Endelea ku Google na kuleta mapicha mengine kama jibu la kutokuwa na jibu!
Hahahaa Mbuguni nilikuwepo 2008 sijabahatika kupata jiwe nikaachana nayo kwa sasa nakomaa na mkaa tu unalipa,mambo ya kukaa chini ya ardhi kutafuta kitu kisichonekana siyataki.
Endelea ku Google na kuleta mapicha mengine kama jibu la kutokuwa na jibu!
Hey frustrated woman, endelea ku Google na kuleta mapicha mengine kama jibu la kutokuwa na jibu!!
Hey frustrated woman, endelea ku Google na kuleta mapicha mengine kama jibu la kutokuwa na jibu!!
Mbona umeacha? Au Unafanya mishe nyingine? Mie nakomaa natafuta msingi nianzishe Duka la Jumla na Vifaa vya ujenzi(Hardware).Mkuu King Kong III mi mwenyewe mbona biashara hio nilifanya sana.... mapori ya mwidu, bwawani, lulenge, dunia ya mwisho nimeliwa sana na mbumo.
i huwa nawashangaa sana wabongo..unasemaje mtu amepishana na furaha?nyie mlishawahi kishi na Zari na Diamond nyumba moja?mlikuwa mnayajua ya ndani kwao au mnajudge kutokana na mnachokiona mtandaoni?...Mvaaji wa kiatu pekee ndo anayejua wapi kiatu kinambana...Leave Dee and Zee aloneHaahahaha kajamaa kajinga kweli,, nawanaume wajifunze , kuna mwanamke ukiachana naye. Nisawa nakwamba umeamua kupishana na Furaha !!.
Huyu jamaa hata afanye nn. Hata atembee na nani?? Hatokaa asimfikirie Zary. Sikwasababu wamezaa, bali nikwasababu anajua Zary ndio alikua mtu sahihi ila.ndooo zileee "am a superstar"
NdiyoKwahiyo Diamond ni tajiri ?
100% correctM
i huwa nawashangaa sana wabongo..unasemaje mtu amepishana na furaha?nyie mlishawahi kishi na Zari na Diamond nyumba moja?mlikuwa mnayajua ya ndani kwao au mnajudge kutokana na mnachokiona mtandaoni?...Mvaaji wa kiatu pekee ndo anayejua wapi kiatu kinambana...Leave Dee and Zee alone
Ana kesi na Harmonize?Jamaa asipojiangalia atakuja kuwa na mwisho mbaya sana. Na alivyo na akili ndogo na elimu zero, Atakuja kufulia huku akiandamwa na MADENI na KESI ZA KUFA PUNDA.
- KESI ZA MASLAHI kutoka kwa kina MABETO, HARMONIZE, ZARI, WATOTO, SALLAM SK, TALE, BIMA ZA NYUMBA n.k na wakati huo amebaki peke yake na mama yake tu !