Diamond akana kumpigia magoti Zari ili warudiane

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
1.jpg
Msanii wa bongo fleva maarufu nchini , Diamond Platinumz kwa mara ya kwanza amefunguka na kuzungumzia swala lake la kuachana na Zari na kumuomba radhi mwanamama huyo ambapo taarifa za hapo awali ziliwahi kusema kuwa kwa sasa Diamond amekuwa akipiga safari nyingi za Afrika ya Kusini ili kuomba radhi kwa mwanamke huyo.

Akizungumzia kuhusu vijembe vingi ambavyo diamond amekuwa akitupiwa na mwanamama huyo hasa vya hapa karibuni alipokuwa kenya, Diamond alisema ; "hayo ya kenya bwana tuachane nayo, mimi nadhani yameshapita naomba tuendelee na haya yasasa itapendeza sana”

Hata hivyo, mwandishi hakuishia hapo ndipo alipoamua kumuuliza moja kwa moja kuhusu yeye kusafiri kwenda afrika ya kusini kwa ajili ya kuomba radhi kwa zari huku akienda kwa siri mara kwa mara na Diamond alijjibu kuwa safari zake za Afrika ya Kusini hazihusiani na mambo hayo.

"N kweli ninaenda na so mara moja au mara mbili nimekuwa ninaenda,nakwenda kule sio kwa ajili ya kumuomba msamaha , hapana ila ninakwenda kule kwa ajili ya kuona wanangu tu,haiwezekani niwe ninatuma pesa za matumizi tu alafu ninafka mpaka Afrika ya Kusini na nisiende kuwaona wanangu.

"Hao wanaosema kuwa sijui nimekuwa nikimuangukia nadhani yatakuwa ni maoni yao tu wala sio yangu, ni maneno yasiyokuwa na msingi, zari ni mama wa watoto wangu na itabaki kuwa hivyo."

Mpekuzi
 
Haahahaha kajamaa kajinga kweli,, nawanaume wajifunze , kuna mwanamke ukiachana naye. Nisawa nakwamba umeamua kupishana na Furaha !!.

Huyu jamaa hata afanye nn. Hata atembee na nani?? Hatokaa asimfikirie Zary. Sikwasababu wamezaa, bali nikwasababu anajua Zary ndio alikua mtu sahihi ila.ndooo zileee "am a superstar"
 
Jamaa asipojiangalia atakuja kuwa na mwisho mbaya sana. Na alivyo na akili ndogo na elimu zero, Atakuja kufulia huku akiandamwa na MADENI na KESI ZA KUFA PUNDA.
- KESI ZA MASLAHI kutoka kwa kina MABETO, HARMONIZE, ZARI, WATOTO, SALLAM SK, TALE, BIMA ZA NYUMBA n.k na wakati huo amebaki peke yake na mama yake tu !
 
VILE DUA YA MASKINI KWA TAJIRI HUWAGA HIVYO,POLE MKUU TATZO NI SISI MASKINI KUWAOMBEA ANGUKO WALO NACHO
 
Jamaa asipojiangalia atakuja kuwa na mwisho mbaya sana. Na alivyo na akili ndogo na elimu zero, Atakuja kufulia huku akiandamwa na MADENI na KESI ZA KUFA PUNDA.
- KESI ZA MASLAHI kutoka kwa kina MABETO, HARMONIZE, ZARI, WATOTO, SALLAM SK, TALE, BIMA ZA NYUMBA n.k na wakati huo amebaki peke yake na mama yake tu !
Duh!!!we jamaa unaonekana mwenye chuki sana,hasa kwa wa2 waliofanikiwa zaid yako.
 
Haahahaha kajamaa kajinga kweli,, nawanaume wajifunze , kuna mwanamke ukiachana naye. Nisawa nakwamba umeamua kupishana na Furaha !!.

Huyu jamaa hata afanye nn. Hata atembee na nani?? Hatokaa asimfikirie Zary. Sikwasababu wamezaa, bali nikwasababu anajua Zary ndio alikua mtu sahihi ila.ndooo zileee "am a superstar"
Ww ndo upo akilini mwake?
 
Back
Top Bottom