Gold Addict
Senior Member
- Sep 5, 2011
- 150
- 42
Diamond inabidi afanye kazi na asitake kujisikia na kuona ameshajulika,wakina Alikiba walikuwa hivi hivi kila kona Alikiba anafanya mashoo ya ajabu na makubwa sana,heshima ilikuwa hamna kabisa dharau nyingi sana,now anasikika?yupo lakini hamna kitu kuna wakina Mr Nice wako wapi??so dogo Diamond nakushauri acha mambo ya kijinga na acha kuringa fanya kazi mungu hapendi hivyo.
mmh,kama rusha roho vile.naona wengi walioenda ni wanawake,wanaume kulikoni?
Kinyamwezi angepokea halafu kama mikausho baadae!hizi ni dalili za wivu diamond kaonyesha cuz kabla wema hajaenda dubai katika show ya PHD alimmwagia sana hela HEMED, mastory yakamfikia nasib!!!hela haisuswi na demu si wa kushindana nae!!mistake kubwa anafanya platinumz
mmh,kama rusha roho vile.naona wengi walioenda ni wanawake,wanaume kulikoni?
mh jaman kati ya wasanii wote waliopotea kwnye ramani aly kiba ndo wakumtolea mfano kweli??
Wapo wengi sana huyo Aly Kiba akiwa mmoja wapo,nisaidie Mama nipe list nyingine plz
safi sana tujifunze kuheshimu wapenzi wetu tunapoachana nao sio maneno ya kashfa zisizo na kichwa wala miguu....angetulia kwenye kiti chake wala yasingemkuta sijui ana nini huyu binti
namtetea diamond.
kila mtu anajua wema hana kazi,pesa zake anapata kwa kuchuna mabuzi.
Sasa kweli diamond akubali pesa za x wake alizohongwa na wanaume zake?
diamond umefanya vizur kukataa pesa za wema za kuchuna mabuzi.