Diamond akataa hela ya Wema stejini...

Diamond akataa hela ya Wema stejini...

kimamii naona umefunguka kweli,btw mwanaume hasifiwi sura..tehe!

yaaan huyu mboni masimba anajulina kama malaya wa mjii kumbuka kile kipindi cha etoooo alipigwa picha akiwa nae hotelin hua n kiburudisho cha wanamuziki wanaoletwa nchini hafu anakaaa kushadadia ujinga,,,,,,,,, hafu aka ka jokate kamekua kaswahili, wanasemaga taaarabu ni uswahili ila iyo show ilikua ni zaidi ya uswahili watu walijiandaa kurushana rohoooo, eti waliweka na aina ya mavaz a kuvaa wangesema na khanga pia ili warushane roho vizuriiii
 
Tuna ushamba wa ajabu sana, hivi kweli ni uungwana huu. Tatizo letu tunapenda kupeana sifa za kishamba shamba kiasi kwamba mazezeta wengi uzibeza, na kujiona wana umuhimu fulani. Yes diamond anaimba na huyo wema kwa kweli i dont know the source of his popularity.

Imefikia hatua wengine sasa tunatumia majina mengine halafu waliosikia hadithi tu wakija kutujua kama ndio akina nani wanashangaa mbona sio kabisa kama nilivyokusikia, Huu upuuzi kwa kweli is enough. Mnawapa watu publicity na ujinga kutokana na tabia zenu za kuongea msivyovijua.
 
its about tym wabongo tuache sifa za kijinga,diamond alienda pale kufanya show na si kupokea vijihela vya wema,alichotaka wema ni kuandikwa tena kwenye magazeti ya shigongo kwamba ana jeuri ya hela,kama alikuwa anataka kumtunza kweli angeweza akamtumia hata kwenye mpesa,big up diamond!
Angezichukuwa awape madancers wake.
 
pole mrembo wema,ila ndio uache kudate na men wasioeleweka,jitahidi uwe na proper choice.
 
Tuna ushamba wa ajabu sana, hivi kweli ni uungwana huu. Tatizo letu tunapenda kupeana sifa za kishamba shamba kiasi kwamba mazezeta wengi uzibeza, na kujiona wana umuhimu fulani. Yes diamond anaimba na huyo wema kwa kweli i dont know the source of his popularity.

Imefikia hatua wengine sasa tunatumia majina mengine halafu waliosikia hadithi tu wakija kutujua kama ndio akina nani wanashangaa mbona sio kabisa kama nilivyokusikia, Huu upuuzi kwa kweli is enough. Mnawapa watu publicity na ujinga kutokana na tabia zenu za kuongea msivyovijua.

boss tujuze yaliyoyaukweli mkuu...
 
boss tujuze yaliyoyaukweli mkuu...
yepi tena mkuu unaanza sasa na wewe. mi nimeongelea tatizo la kuwapa sifa za kishamba watu mpaka wanasahau jinsi ku-behave rightly proffesionally.

Usiku mwema.
 
yaaan huyu mboni masimba anajulina kama malaya wa mjii kumbuka kile kipindi cha etoooo alipigwa picha akiwa nae hotelin hua n kiburudisho cha wanamuziki wanaoletwa nchini hafu anakaaa kushadadia ujinga,,,,,,,,, hafu aka ka jokate kamekua kaswahili, wanasemaga taaarabu ni uswahili ila iyo show ilikua ni zaidi ya uswahili watu walijiandaa kurushana rohoooo, eti waliweka na aina ya mavaz a kuvaa wangesema na khanga pia ili warushane roho vizuriiii

duh nasikia eto'o alimtafuna huyo mbon,but bahat mbaya ni kwamba eto'o hakumbuk kama ameshawah kukutana na huyu kicheche(hamkumbuk) yupo zake anzy makchakala anakula mifweza ya warus wakat ndugu yetu anasubiri Lil wayne atue bongo atafunwe.Hicho kiJokate tokea nisikie kinatoka na Diamond nimekishusha from hero to zero
 
  • Thanks
Reactions: kui
Tuna ushamba wa ajabu sana, hivi kweli ni uungwana huu. Tatizo letu tunapenda kupeana sifa za kishamba shamba kiasi kwamba mazezeta wengi uzibeza, na kujiona wana umuhimu fulani. Yes diamond anaimba na huyo wema kwa kweli i dont know the source of his popularity.

Imefikia hatua wengine sasa tunatumia majina mengine halafu waliosikia hadithi tu wakija kutujua kama ndio akina nani wanashangaa mbona sio kabisa kama nilivyokusikia, Huu upuuzi kwa kweli is enough. Mnawapa watu publicity na ujinga kutokana na tabia zenu za kuongea msivyovijua.

wema alikuwa miss tz.hilo linatosha kumfanya awe popular
 
... kuna WATU na VITU/VIFAA. Don't mix the two. Circumstances have led Wema to the later.
 
yani usipowafahamu watu wanaofanya ujinga ujinga hapa mjini we ndio unaonekana mshamba mbele za watu. Lazima uwafahamu akina diamond, jokate, wema ili nawe uonekane mjanja.
Acha atambe ndo muda wake akifulia atasaulika
 
Diamond aka tandale Copper!
Wema ni mzungu wa tabia..ila kweli ni innocent sichupid kwan amesahau kuwa
Bwa'mdogo mswazi kitabia af mzungu pori wa mavazi..teh teh itamuaibisha kwa muda,but itakwisha na kila mtu ataendelea na life lake meen
 
yepi tena mkuu unaanza sasa na wewe. mi nimeongelea tatizo la kuwapa sifa za kishamba watu mpaka wanasahau jinsi ku-behave rightly proffesionally.

Usiku mwema.

nimependa tu post yako,sema ndio natumia simu,na nikakusapoti kuwa tuambie tu ukweli,maana wabongo tunapenda sana upuuzi,na mambo yasiyo na tija.
 
ka diamond kenyewe kabaaaaya,sijui kanaringa nini?

Kwani uzuri wa mwanaume uko wapi? Shaft yake ni inch kumi na mbili ndo maana unaona masista du wanamuhangaikia. Halafu yule kuku wa kienyeji original. Haitaji viagra kupiga bao moja kwa wiki.
 
sahv yupo na proper choice(pedeshee-mme wa mtu)

ah haha mkuu umeniacha hoi,hivi mume wa mtu nae proper choice??mimi naamini huyu binti anakapepo,watu wa mungu muombeeni huyu mtoto.
 
Wema kwanini hakuendelea na kusoma? Naona she is missing a step...and before too late itakula kwake asipokuwa makini.
 
Wema angeenda akatunza show kwa kuziweka pale mbele tu yangekua shwari, sasa plus umaarufu tena alitaka amtunze crowd ione nk. Ni kama amejitakia mwenyewe kujichoresha. Haikuwa na ulazima aende mbele unless for show off... #mtizamo tu.
 
Sometimes huwa nasema binafsi kuwa kuna wasanii hapa tz wanapata umaarufu ambao sijui nisema "umewajia wakati sio wake/wakati sio sahihi" hii yote inazalisha ulimbukeni wa kutaka kuwa know all time, watu wanasahau kujifunza kulingana na makosa - actual sio lazima makosa yote uyatende wewe. #mtizamo tu.
 
Back
Top Bottom