Diamond akataa hela ya Wema stejini...

Diamond akataa hela ya Wema stejini...

Hahahaha wema nae akome kujipendekeza alifikiria diamond atashobokea hizo elfu 50 zake? Diamond kampotezea there's no doubt about that. Eti kanuna na kulia attention seeking bitch. Safi sana diamond. Wema endela kuchuna vigogo muahe diamond
 
Namkubali saana Platinum, ila kwa alilofanya sio vyema. Wema hakumuomba chochote zaidi ya kuappreciate wimbo alokuwa akiiamba Diamondi. Iyo concert kafanya ili apate mpunga, na mpunga wenyewe ndo alokuwa akipewa, Tubadilike jamani.
Life goes on Wema, no matter what happens
 
mwanaume wa ukweli hapokei hela zilizotoka kwa wanaume wenzie bwana..
 
safi sana tujifunze kuheshimu wapenzi wetu tunapoachana nao sio maneno ya kashfa zisizo na kichwa wala miguu....angetulia kwenye kiti chake wala yasingemkuta sijui ana nini huyu binti
 
kweli usuperstar ni mzigo wa mwiba ukiubeba lazima uumie ndivyo inavyomtokea bishosti wema..
 
mmh,kama rusha roho vile.naona wengi walioenda ni wanawake,wanaume kulikoni?
 
Kinyamwezi angepokea halafu kama mikausho baadae!hizi ni dalili za wivu diamond kaonyesha cuz kabla wema hajaenda dubai katika show ya PHD alimmwagia sana hela HEMED, mastory yakamfikia nasib!!!hela haisuswi na demu si wa kushindana nae!!mistake kubwa anafanya platinumz
hemed kaingiaje hapa maana kama kutunza wema tunamsoma anatunza kila siku...au nae anajifananisha na Diamond nsicheke mie bure
 
Tatizo ni wema, anataka kuonyesha kwa Almasi kuwa anazo!! Lakini Almasi ameonyesha kutojali.
 
Nimeipenda sana hiyo. Huyu mwanamke anajirahisisha sana
 
Diamond amenifurahisha sana!! Wema anataka kuchukulia ujiko ktk show yake nyambaffff!!
 
Back
Top Bottom