jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Hiyo kitu iko mahali yake!Nasubiri mkuu, patiently waiting.mkuu mushi inaelekea jombo umelitamani kiukweli!!!hhahahaa...subiri nifuatilie kwa wadau ntakufahamisha!
Back to the point hapa, dogo katifuka on the business part of things!
Hivi hana managers na watu wa kumshauri?Kuwa business time is business time?
Huyu dogo ana offer services, bidada ni mteja,angetakiwa kuact accordingly.
Kama yuko na demu mpya, kususa ya kazi gani kama si yeye mwenye matatizo ya wivu na he does not let it go?
Uswahili mtupuu! Biti Mkongwe spare me on this plz!lol