Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
NimelikeShigongo yuko bega kwa bega na Riziwani, team Membe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimelikeShigongo yuko bega kwa bega na Riziwani, team Membe
Siamini kama huyu babu yupo desperate kiasi hiki
kupata urais!!!!!!!
Kama ni kweli ana agenda gani?????? Kwann
asitumie fedha alizo nazo ku invest hapa nchini
kama kina Dewji, Bhakresa na Mengi ili vijana wetu
wakapata ajira?
Nini kinachomfanya anganganie kwenda ikulu kwa
marushwa makubwa hivyo?
Nyerere anajua siri hii ila bahati mbaya alienda
nayo kaburini!
unless lingekua linachochea upotevu wa amani hakuna haja ya kulifungia, hiyo ndo freedom of press...Kama litamuudhi aliyeandikwa ana ruksa ya kwenda mahakani kufungua kesi it is as simple as that, na sijui kama lowassa ana huo muda au platnumz ana huo muda...let them write as they wish, ungekua unasoma magazeti ya wenzetu walioendelea wanavo portray watu wao (public figures) wala hiyo caption/maelezo usingeweka![]()
HILI GAZETI LIFUNGIWE!!!!!!!!!!