Diamond akataa milioni mia tano za Lowassa

Diamond akataa milioni mia tano za Lowassa

Siamini kama huyu babu yupo desperate kiasi hiki
kupata urais!!!!!!!
Kama ni kweli ana agenda gani?????? Kwann
asitumie fedha alizo nazo ku invest hapa nchini
kama kina Dewji, Bhakresa na Mengi ili vijana wetu
wakapata ajira?
Nini kinachomfanya anganganie kwenda ikulu kwa
marushwa makubwa hivyo?
Nyerere anajua siri hii ila bahati mbaya alienda
nayo kaburini!

Lengo lake aingie madarakani ili alipizem visasi kwa adui zake, hana lolote huyu mzee
 
diamond akatae milioni mia tano halafu gazeti moja tu tena kigazeti kisichosomwa kiwe na taarifa hiyo hata magazeti pendwa ya udaku yasiwe na taarifa hiyo hamuoni kuwa huu ni mpango mkakati wa kumchafua EL? kama ni kweli...narudia kama ni kweli...diamond angetoa taarifa kwenye vyombo husika ili EL abanwe na aumbuke lakini kwa kuwa ni uzushi uliobobea...ndio maana unaona visa limeleta kisa cha kusadikika...
DSC08299.jpg
 
Huu ni udaku kama mwingine tu. Hana ubavu wa kukataa hata 10m.
 
Gazeti lenyewe la udaku wala mimi huwa sina muda wa kusoma wala kuanglia magazeti kama hayo. Sanasana kina mama wa majumbani na wale kinadada wa mitaani uswahilini ndiyo utakuta wanasoma magazeti kama hayo
 
Hii si kweli, Diamond hana jeuri ya kukataa hiyo miescrow.., hali ilivyo tyt namna hii..?!
 
Kwanini mnatulazimisha kusoma udaku huku? gazeti lenyewe ni la visa!
 
DSC08299.jpg



HILI GAZETI LIFUNGIWE!!!!!!!!!!
unless lingekua linachochea upotevu wa amani hakuna haja ya kulifungia, hiyo ndo freedom of press...Kama litamuudhi aliyeandikwa ana ruksa ya kwenda mahakani kufungua kesi it is as simple as that, na sijui kama lowassa ana huo muda au platnumz ana huo muda...let them write as they wish, ungekua unasoma magazeti ya wenzetu walioendelea wanavo portray watu wao (public figures) wala hiyo caption/maelezo usingeweka
 
Mods vp tena mbona mmeunganisha ID yangu cyan 6 na BAMpani?
 
Last edited by a moderator:
how much is Diamond worth?? hawezi kataa hiyo pesa!! kwa influence gani aliyonayo??
 
Ndio maana Membe ameweka wazi kwamba akiingia magogoni kuna waandishi watahama nchi.

Je suis Charlie" inawahusu hawa jamaa hakuna haja ya kupelekana mahakamani ni shaba tu.
 
hii ni battle ya Pasco vs ocampo four terms and conditions to be applied. Enjoy the battle.
 
Last edited by a moderator:
Lowasa ni masikini sana, hiyo milioni 500 hana, huu ni uongo mkubwa sana
 
Back
Top Bottom