Diamond akataa milioni mia tano za Lowassa

Diamond akataa milioni mia tano za Lowassa

wote mnayoyanunua na kisha kuyasoma na kuyaamini 'vifungashio' hivyo nina imani kubwa mtakuwa mnaliwa o7i3... Kama umekasirika nitafute nikutoe ngeu!
 
hawezi kukataa pesa malaya kwa uzalenfo gani?kama anashindwa kuutunza uchi wake ataweza uutunza uzalendo wa taifa lake!!yule kama Dr.Slaa tu,imemshinda familia ya watu tano,ataweza watu milioni 45.

Maskini! Ona unavyojidhalilisha kwa upumbav wako wa kurukia mada zinazohitaji akili kubwa na kuandika viroja
 
Mkuu ushahidi ni gazeti hilo hapo unataka ushahidi gani.

Mkuu mada imekukuna sana!!! Leo umepata pa kujiliwaza! Kigazeti gani hicho, diamond hawezi kukataa hiyo hela hata kama ana bilion kadhaa! Sembuse Chenge ni bilionea ila akikuta sh 100 haiachi.....! Huo ni uongo, nashangaa watu wanamsifu Diamond kwa uzalendo....! Ana uzalendo gani? Mnapa umaarufu tu.
Hicho kigazeti kimeamua kutafuta wateja, na Simiyu yetu naona gazeti limekubamba mkuu!
 
Naona sasa wamedhamiria kuchafua nyota ya Diamond! Haya magazeti ya Shigongo ni shidaaa! Huyo Diamond amezikataa hizo fedha kwa vigezo gani? Kila siku anajituma kutengeneza fedha, eti leo akatae kisa zinatoka kwa Lowassa! Haiwezekani hata chembe! Hii mimi naichukulia kama muendelezo wa kumchafua lowassa...

Umenena vema....!
 
Mmmmmm! Sijui kama kweli maana hizo ni pesa nyingi sana, mh mm nazihitaji kama d amekataa
 
Ni aibu mtu mwenye akili timamu kuamini au kutumia magazeti ya UDAKU kama riferensi!! rubbish..
 
Hilo ni gazeti la nchi gani sijawahi hata kulisikia mm
 
Ndani liko iv: mwandishi sote tunajua vuguvugu la uchaguzi mkuu, iv ikitokea mgombea uraisi kupitia chama chochote akatangaza dau la 500 m umsaidie kupiga kampen utakubali??
Diamond: Ingawa kazi yangu ni kutafuta pesa sitokubali bora hizo pesa akawapa maskin.
Nawaza tu.
 
Back
Top Bottom