Mapenzi ya Mungu
JF-Expert Member
- Feb 22, 2025
- 317
- 290
Raha kujifananisha na sio kufananishwa😂😂😂Vipi akili bado hazijakaa sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha kujifananisha na sio kufananishwa😂😂😂Vipi akili bado hazijakaa sawa
HeheheRaha kujifananisha na sio kufananishwa😂😂😂
Tumeingilia raha zake lazima akili iwe fupiHehehe
Raha za nani tenaTumeingilia raha zake lazima akili iwe fupi
Sema watoto wa Elfu mbili mzee ni wa moto.Unaacha wanawake kariba ya Zari unaenda kudeti na kuku wa kienyeji asiyemudu hata kulipa kodi ya chumba sebule Tabata.
Mwanamke mjinga asiyejua kalenda zake,mwanamke unatoka nae bongo mpaka South Africa kumbe yuko period hata hajui gharama ulizotumia kwa tiketi ya ndege na hotel.
Kuna siku atakutana na kuku wa kienyeji aliyepangwa mwenye njaa kali apewe kesi ya ubakaji,ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno
duuuuuhDiamond anaangalia frequency zaidi ndo anachezea hapo na sio makalio ,ukubwa wala uzuri wa Mwanamke.
Hao Kuku wa kienyeji Kama wanaoandisha frequency zake zinakuwa juu sio rahisi awaache maana yeye mondi anachopambania Kwa sasa ni energy tu na sio umaarufu .