Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Diamondplutnamz aliamua kumfungukia mzazi mwenzake maneno haya baada ya Zari Bosslady kumpost Diamond kwenye account yake ya Instagram kumpongeza baba watoto wake kwaTunzo aliyoipata ya Universal aliyoipata, Diamondplutnamz bila kusita alimshukuru mpenzi wake kwa kumueleza Hisia zake kwamba tam anayompa inamfanya azidi kutunga nyimbo zuri zaidi