Diamond Akili kwa Zari Utamu anaompa Unamfanya azidi kutunga nyimbo Tamu zaidi

Diamond Akili kwa Zari Utamu anaompa Unamfanya azidi kutunga nyimbo Tamu zaidi

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Diamondplutnamz aliamua kumfungukia mzazi mwenzake maneno haya baada ya Zari Bosslady kumpost Diamond kwenye account yake ya Instagram kumpongeza baba watoto wake kwaTunzo aliyoipata ya Universal aliyoipata, Diamondplutnamz bila kusita alimshukuru mpenzi wake kwa kumueleza Hisia zake kwamba tam anayompa inamfanya azidi kutunga nyimbo zuri zaidi




IMG_20171030_141732_269.jpg
 
Nachomkubali Mond huwa hana aibu katika kuzionesha hisia zake.Tunazikubali kazi zako [HASHTAG]#MarryU[/HASHTAG]
 
Alama za mtu mnafiki ni thalatha. Akiongea anakua muongo. Kama ni kweli asingeendelea kufanya uzinzi na wanawake tofauti. Aache unafiki awowe nakutulia na familia yake sio kujisemesha kwenye mtandao. Hivi zari hawoni kama anachorwa
 
Back
Top Bottom