Diamond Akili kwa Zari Utamu anaompa Unamfanya azidi kutunga nyimbo Tamu zaidi

Diamond Akili kwa Zari Utamu anaompa Unamfanya azidi kutunga nyimbo Tamu zaidi

Ila tuseme ukweli huyo mwanamke yaonekana yupo njema sana
We huoni lips na miguu, hio! Hapo lazma umlilie mama furaha tu plus demu ni mzungu hakupi stress za njaa njaa ya ela ndogo ndogo sijui saluni mara nguo na viatu,pochi.

Anatafta hela yake ya kujihudumi na kukununulia mazawadi pia. Ana comfort kwa kweli ambao hamjawahi kuwa na mademu type ya Zari poleni!
 
Alama za mtu mnafiki ni thalatha. Akiongea anakua muongo. Kama ni kweli asingeendelea kufanya uzinzi na wanawake tofauti. Aache unafiki awowe nakutulia na familia yake sio kujisemesha kwenye mtandao. Hivi zari hawoni kama anachorwa

Atakuwa hawoni, maana hajamuwowa kabisa [emoji16]
 
Alama za mtu mnafiki ni thalatha. Akiongea anakua muongo. Kama ni kweli asingeendelea kufanya uzinzi na wanawake tofauti. Aache unafiki awowe nakutulia na familia yake sio kujisemesha kwenye mtandao. Hivi zari hawoni kama anachorwa

Madam nadhani huujui uzinzi weweee!! mzinzi ni mzinzi tuuu na kuacha ni kama madawa ya kulevya....labda akikatwa kidudu chake ndo ataacha.....lakini cha ajabu sasaaaa..mzinzi nae anakuwa na mtu mmoja anaempenda kiukweli...atafanya uzinzi pengine lakini anaempeda yuko palepale
 
Back
Top Bottom