Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah...Sawa suka!!!Mi mwenyewe utamu anaonipa Mama Gaude unanifanya niendeshe daladala vizuri.
We huoni lips na miguu, hio! Hapo lazma umlilie mama furaha tu plus demu ni mzungu hakupi stress za njaa njaa ya ela ndogo ndogo sijui saluni mara nguo na viatu,pochi.Ila tuseme ukweli huyo mwanamke yaonekana yupo njema sana
hahahahahahaha hacha ujinga basiMmmh mbwembwe hizo mtu mwenyewe kama panya kila kitobo unaingia
mh wadada sijui wamama naona mmekuja juu mno...Hiyo tamu vepee mbona kutwa kutia tia wadada wengine?? Akae atulie unapewa tamu unaanzaje kuchepuka??
Alama za mtu mnafiki ni thalatha. Akiongea anakua muongo. Kama ni kweli asingeendelea kufanya uzinzi na wanawake tofauti. Aache unafiki awowe nakutulia na familia yake sio kujisemesha kwenye mtandao. Hivi zari hawoni kama anachorwa