mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo?. mia
Wewe dada 'WEMA SEPETU'mbona umechukia ghafla?Heri hata umemuuliza hivi, sijui hana kazi na vya kupost?
Wewe dada 'WEMA SEPETU'mbona umechukia ghafla?
Sasa Dimond mwenyewe kaamua kuiweka link hapa wewe unachukia vp?
Basi kimwana usihuzunike sawa ehe!
Bado upo kwenye chat bana usiwe na hofu.Mie mwenyewe nakutaka sana tuu wema umesikia eh!
Njoo nikupoze machungu ya kumwagwa bibie ok?
Diamond atakuja kuanguka vibaya sanaaaaaa kwenye Music na atakuja kumfata WEMA na yeye ataanza kumchomolea, mtoto wa kiume mambo una solve mwenyewe na sio kumpa mwanamke simu hata kama mmelala bana. Kuwa makini sana DIAMOND tutakuja kukusahau kwenye anga hizi za music, mark my words.
Wewe dada 'WEMA SEPETU'mbona umechukia ghafla?
Sasa Dimond mwenyewe kaamua kuiweka link hapa wewe unachukia vp?
Basi kimwana usihuzunike sawa ehe!
Bado upo kwenye chat bana usiwe na hofu.Mie mwenyewe nakutaka sana tuu wema umesikia eh!
Njoo nikupoze machungu ya kumwagwa bibie ok?
Najua wewe ni Penny a.k.a pencil au kidoti, sasa bwana umelala nae cha kutojiamini hadi uongee na wanawake wengine ni nini?jiamini bidada wanaume ni wako akiwa kifuani kwako tu.
Unaona alichofanya Diamond ni kizuri? Ushamba utawaisha lini? Hivi unajua kuwa anapolala na hao wadada wengine ndio analikisha habari ili aonekane nayeye katoka na Uwoya sijui Aunt na kesho atatuambia nani. This guy need exposure
Wewe dada 'WEMA SEPETU'mbona umechukia ghafla?
Sasa Dimond mwenyewe kaamua kuiweka link hapa wewe unachukia vp?
Basi kimwana usihuzunike sawa ehe!
Bado upo kwenye chat bana usiwe na hofu.Mie mwenyewe nakutaka sana tuu wema umesikia eh!
Njoo nikupoze machungu ya kumwagwa bibie ok?
Hahahahahahahahahaha kwani mkiachana ni ugomvi?? ndo makuwa maadui kwani?? khaa mi nilijua kumpigia Ex ni kitu cha kwaida tu sasa ndo hadi kupeana cm demu wako ili aongee na mpiga simu...mhhh makubwa haya. Wengine ni wavaa suruali ila si wanaume.....uswahili umewajaa. Wa tandale ni watandale tu hata umpeleke ulaya bado atakuwa nahangaika majumbani kwa watu kupita kuomba chumvi na njiti za kiberiti