Diamond akimtosa LIVE Wema kwenye simu

Diamond akimtosa LIVE Wema kwenye simu

Status
Not open for further replies.
Diamond atakuja kuanguka vibaya sanaaaaaa kwenye Music na atakuja kumfata WEMA na yeye ataanza kumchomolea, mtoto wa kiume mambo una solve mwenyewe na sio kumpa mwanamke simu hata kama mmelala bana. Kuwa makini sana DIAMOND tutakuja kukusahau kwenye anga hizi za music, mark my words.
 
Heri hata umemuuliza hivi, sijui hana kazi na vya kupost?
Wewe dada 'WEMA SEPETU'mbona umechukia ghafla?
Sasa Dimond mwenyewe kaamua kuiweka link hapa wewe unachukia vp?

Basi kimwana usihuzunike sawa ehe!
Bado upo kwenye chat bana usiwe na hofu.Mie mwenyewe nakutaka sana tuu wema umesikia eh!
Njoo nikupoze machungu ya kumwagwa bibie ok?
 
Najua wewe ni Penny a.k.a pencil au kidoti, sasa bwana umelala nae cha kutojiamini hadi uongee na wanawake wengine ni nini?jiamini bidada wanaume ni wako akiwa kifuani kwako tu.
 
Diamond atakuja kuanguka vibaya sanaaaaaa kwenye Music na atakuja kumfata WEMA na yeye ataanza kumchomolea, mtoto wa kiume mambo una solve mwenyewe na sio kumpa mwanamke simu hata kama mmelala bana. Kuwa makini sana DIAMOND tutakuja kukusahau kwenye anga hizi za music, mark my words.

Umenena sawa
 
Wewe dada 'WEMA SEPETU'mbona umechukia ghafla?
Sasa Dimond mwenyewe kaamua kuiweka link hapa wewe unachukia vp?

Basi kimwana usihuzunike sawa ehe!
Bado upo kwenye chat bana usiwe na hofu.Mie mwenyewe nakutaka sana tuu wema umesikia eh!
Njoo nikupoze machungu ya kumwagwa bibie ok?

Unaona alichofanya Diamond ni kizuri? Ushamba utawaisha lini? Hivi unajua kuwa anapolala na hao wadada wengine ndio analikisha habari ili aonekane nayeye katoka na Uwoya sijui Aunt na kesho atatuambia nani. This guy need exposure
 
nimelichukia hili Diamond....eti tumelala mmelala au mmejitupa kulala mtalala nyie nyoooo!
 
Diamond huo ni ushambaaaaaaa....mmeongea nyie..kwanini urushe kwwnye media..kwan ni wangapi wanatakwa na wapenzi wao wa zamani na hukauka..n mm nna daut na hiyo kitu inawezekan ni fake pia...kua kijana
 
Naona hapa watu wanapeana matusi ya rejareja....
Wengine mnapeana majina mara Penny,Kidoti,na mengine...
 
Najua wewe ni Penny a.k.a pencil au kidoti, sasa bwana umelala nae cha kutojiamini hadi uongee na wanawake wengine ni nini?jiamini bidada wanaume ni wako akiwa kifuani kwako tu.

Nasikia jamaa analist ndefu ya kuwagegeda warembo wewe umesha chuja
 
Unaona alichofanya Diamond ni kizuri? Ushamba utawaisha lini? Hivi unajua kuwa anapolala na hao wadada wengine ndio analikisha habari ili aonekane nayeye katoka na Uwoya sijui Aunt na kesho atatuambia nani. This guy need exposure

Wewe umelala juu ya kifua cha mmeo alafu x boyfriend wako anakupigia simu usiku wakati huo wewe unausotea mtwangio wa mmeo unae mpenda haswa huyu x boi utamfikiriaje?
 
Wewe dada 'WEMA SEPETU'mbona umechukia ghafla?
Sasa Dimond mwenyewe kaamua kuiweka link hapa wewe unachukia vp?

Basi kimwana usihuzunike sawa ehe!
Bado upo kwenye chat bana usiwe na hofu.Mie mwenyewe nakutaka sana tuu wema umesikia eh!
Njoo nikupoze machungu ya kumwagwa bibie ok?

Demu ukisha mtema akiendelea kujikomba komba dawa yake ni hii
 
Huu ndiyo muda wake ila siku nyingine awaRecord magaidi ili nchi yetu ibaki salama.
 
Hahahahahahahahahaha kwani mkiachana ni ugomvi?? ndo makuwa maadui kwani?? khaa mi nilijua kumpigia Ex ni kitu cha kwaida tu sasa ndo hadi kupeana cm demu wako ili aongee na mpiga simu...mhhh makubwa haya. Wengine ni wavaa suruali ila si wanaume.....uswahili umewajaa. Wa tandale ni watandale tu hata umpeleke ulaya bado atakuwa nahangaika majumbani kwa watu kupita kuomba chumvi na njiti za kiberiti
 
Hakika huu ni ushamba wa hal ya juu alionesha diamond! Kama kweli alikuwa na busara kulikuw hakuna haja ya kuweka mambo ya private kwenye mitandao! Hii inasaidia nini kama si utoto? Huu si uanaume kabisa!

Kwani kama angemkatalia tu yakaisha kuna haja gani kuweka mambo haya kwenye mitandao?

Hii yote ni kumdhalilisha tuu mwenzie na hii si nzuri kwa diamond!time will tell.

Hakika huu ni uttoto+ujinga wa ngazi ya shahada amabao kaufanya diamond!
 
Huyu dogo kitendo alicho fanya ni ujinga +ushamba+utoto mbaya zaidi kuweka haya mambo kwenye mitandao!

Back
Top Bottom