Diamond akimtosa LIVE Wema kwenye simu

Status
Not open for further replies.
Wewe umelala juu ya kifua cha mmeo alafu x boyfriend wako anakupigia simu usiku wakati huo wewe unausotea mtwangio wa mmeo unae mpenda haswa huyu x boi utamfikiriaje?

Akiwa na wengine atanishirikisha? Huyo dada naye hana maana kwa mtu kama Diamond anaona naye ni mwanaume wa kuwa proud off? Kama mimi ningemwambia malizana naye mwenyewe
 
Kwanza mwenye picha ya huyo so called mke wa Diamond atuwekee tusomjua tumuone naona anaona ufahari kujulikana
 
Acha hizo wewe wakati unampenda ulimpendea kwa vile wa Tandare kwa tumbo? Kwa nn usimpigie simu mchana na unampigia simu usiku munene ukijua fika yupo kuwajibika kwenye kinena cha ampendae.
 
Una king'amuzi? Angalia C2T utamkuta mrembo Penny na tayari kapigwa chini kavimba juu, Wema Sepetu licha ya kumpanulia Diamond hakudaka hata mimba ya kusingiziwa.
 
Acha hizo wewe wakati unampenda ulimpendea kwa vile wa Tandare kwa tumbo? Kwa nn usimpigie simu mchana na unampigia simu usiku munene ukijua fika yupo kuwajibika kwenye kinena cha ampendae.

We Tigo khaa achana na mimi, nshasema diamond si mwanaume.
 
Akiwa na wengine atanishirikisha? Huyo dada naye hana maana kwa mtu kama Diamond anaona naye ni mwanaume wa kuwa proud off? Kama mimi ningemwambia malizana naye mwenyewe

Umesha sema wewe? We Diamond unamwona si mwanaume? Endelea na wivu sukari ya warembo anaendelea kuutendea haki mshedede una list ndefu ya warembo mjini hapa.
 
Huyu dogo kitendo alicho fanya ni ujinga +ushamba+utoto mbaya zaidi kuweka haya mambo kwenye mitandao!

Du kazi kweli wengine wako bize na mambo ya taifa wengine wanahangaika na mapenzi tena mapenzi ya watu wengine.
 
Kwanza mwenye picha ya huyo so called mke wa Diamond atuwekee tusomjua tumuone naona anaona ufahari kujulikana

Huyo penny mwenyewe ni muuza punani a.k.a K maarufu hapa town, pia ni full mkorogo, vile vile ni muuza mkorogo maarufu hapa DSM...ukitaka uwe kama mchina au mzungu ni wewe tu. Pyuuuuu
 
Si mwanaume kivp? Hadindishi au?

Sio kila anaedisha ni mwanaume. Uanaume ni zaidi ya kudindisha. Kwa uelewa wako uanaume ni mpini kudinda tu? Kumbe wewe ni poyoyo hivyo? mhh ngoja nikuache kwani nshajua wewe ni ile 60% ya mulugo
 
Huyo penny mwenyewe ni muuza punani a.k.a K maarufu hapa town, pia ni full mkorogo, vile vile ni muuza mkorogo maarufu hapa DSM...ukitaka uwe kama mchina au mzungu ni wewe tu. Pyuuuuu

Mwenzio kamdatisha Diamond licha ya mkorogo unao sema, Diamond katua mikoba ya mapenzi kwa Penny mtajiju wenye wivu
 
Sio kila anaedisha ni mwanaume. Uanaume ni zaidi ya kudindisha. Kwa uelewa wako uanaume ni mpini kudinda tu? Kumbe wewe ni poyoyo hivyo? mhh ngoja nikuache kwani nshajua wewe ni ile 60% ya mulugo

Kama anawapanga wanawake kwa foleni na wengine wanalilia kuonjwa nae ni mwanaume wa shoka jiulize kawapanga wangapi?
 
Sio kila anaedisha ni mwanaume. Uanaume ni zaidi ya kudindisha. Kwa uelewa wako uanaume ni mpini kudinda tu? Kumbe wewe ni poyoyo hivyo? mhh ngoja nikuache kwani nshajua wewe ni ile 60% ya mulugo

Wewe ushapigwa chini tuliza kipago waachie wenzio wanyonywe kiharage.
 
Hivi wewe unahangaika nini hasa? Hujawahi kukutana na mpini mpk ukalazwa mirembe.we unakutana na hao hao wapaka poda ndo mana unaishia chaka.
Nitafute
 
Huyo penny mwenyewe ni muuza punani a.k.a K maarufu hapa town, pia ni full mkorogo, vile vile ni muuza mkorogo maarufu hapa DSM...ukitaka uwe kama mchina au mzungu ni wewe tu. Pyuuuuu
bwahahaha mashori wa tz hovyo sana ndio maana mnamegwa na kuachwa.....

hizo zoote jamaa keshamega.....nampa big up diamond endelea kuwamega aisee tena peku peku.....
 
We are all born mad, Some remain so. - Samuel Beckett

Haya maneno yanadhihirika hapa kwa Bw. Mdogo Nasibu Abdul Al maaruf Diamond

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
bwahahaha mashori wa tz hovyo sana ndio maana mnamegwa na kuachwa.....

hizo zoote jamaa keshamega.....nampa big up diamond endelea kuwamega aisee tena peku peku.....

Mkuu Yo Yo kibaya zaidi wanajilengesha wao wenyewe
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…