Suzie
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 1,267
- 421
Wewe umelala juu ya kifua cha mmeo alafu x boyfriend wako anakupigia simu usiku wakati huo wewe unausotea mtwangio wa mmeo unae mpenda haswa huyu x boi utamfikiriaje?
Akiwa na wengine atanishirikisha? Huyo dada naye hana maana kwa mtu kama Diamond anaona naye ni mwanaume wa kuwa proud off? Kama mimi ningemwambia malizana naye mwenyewe