Diamond akipaka wanja!

Diamond akipaka wanja!

mbona ni kawaida ya wanaume kupaka wanja?? wanaume wengi wa kihindi na kiarabu hupaka wanja chini ya macho na juu kwenye nyusi tena toka wakiwa wadogo na ndo maana nyusi zao zimejichora vizuri tofauti na sisi wabantu. anywayz sijui kwann yeye ndo anaanza kuupaka saa hizi wakati alitakiwa aupake akiwa mdogo kama alitaka kutengeneza nyusi na kope.
 
huyu dogo ana sura ya kiume sana,..mambo haya angekuwa nanfanya yule hemed phd au ben kinyaiya sawa lakini dogo ana sura ngumu aache usen*e

kwani mkuu hemedi phd ni punga?? sijaulaiza ka ubaya, nimuonavyo mm ni mwanaume mzuri tu tena anayependa uanaume wake, na kiukweli wave inampemdeza sana tu as a man sijui kwann umuone kwamba ndo anatakiwa kuwa mrembo.

pia kama una mtoto a kiume na akabarikiwa kuwa na sura nzuri ambayo haina makunyanzi ahusishwe na tabia mbay?? samahan lkn.
 
378560_447128442017745_2075290570_n.jpg


Haya huanza kwa kulima MPUNGA halafu huvunwa na kukobolewa kuwa MCHELE baadae hupikwa na kuwa UBWAWA
 
Location hapo anapaka makeup..kama kuna msanii au presenter ambaye hapaki poda kwenye shooting ajitokeze.
Juma Nature,Stoper,Chindo Man,20%,JCB,LWP Majitu mwitu msitu,KR,Daz Baba,Afande Sele,Mdogo wangu Stamina...mbona wako wengi tuu tatizo ni hawa wabana pua kina daimondo
 
look closely on the right utaona kuna mtu mwingine which suggests this is a shooting ya video. hata huyo dada anaigiza tuu kushangaa sio real. Wima na Jokata wasingemgombania na kujiabisha kama Dayamond angekuwa ******.
 
Ama kweli mihanithi utaijua tu. Haiishi kuponda na kutuhumu wenzao.

Wanja wanapaka kuanzia 50 Cent na G-Unit nzima, Jay-Z, Rick Ross, Chris Brown, Kanye West, Akon, P. Diddy, you name it, lakini yote hayo hamuoni.

Mtaishia kulialia tu humu kudaadeki!
Punga lingine hili hapa, mtajitambulisha wenyewe kwa matendo yenu. Kwahiyo kwa sababu Marvin Gaye alikuwa anatowa takko na Elton John anatowa takko hivyo unahalalisha ni ruksa Diamond kutowa takko pia.

ebu nitajie ni msanii gani wa kiume ambaye amewai shoot video na kampuni kubwa hajafanya ambacho anafanya Diamond..au kwa sababu awajasambaziwa picha zao??
Wewe ni Kilaza kabisa, tena for ur information mimi nimefanya kazi kwenye hiyo Industry ya Commercial advertisement for tv kwa miaka zaidi ya mitano tena kwenye Art Department ambayo inahusika na kupamba, hakuna kitu cha namna hiyo.

Hata kama kuna mwanamke wa kufanyiwa make up kunakuwa na mtaalam maalum wa kufanya kazi hiyo na hajifanyii mwenyewe. na usidhani naongelea Bongo kazi hiyo nimefanya nikiwa Mbele Duniani tena kwenye nchi inayoshika nafasi ya pili kwenye Industry hiyo. Kilaza wewe.
 
elton john keshalewa sifa:fencing::fencing::cheer2::bathbaby::rockon:
 
Back
Top Bottom