Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,298
Was yours necessary?
Definitely
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Was yours necessary?
huyu dogo ana sura ya kiume sana,..mambo haya angekuwa nanfanya yule hemed phd au ben kinyaiya sawa lakini dogo ana sura ngumu aache usen*e
Juma Nature,Stoper,Chindo Man,20%,JCB,LWP Majitu mwitu msitu,KR,Daz Baba,Afande Sele,Mdogo wangu Stamina...mbona wako wengi tuu tatizo ni hawa wabana pua kina daimondoLocation hapo anapaka makeup..kama kuna msanii au presenter ambaye hapaki poda kwenye shooting ajitokeze.
look closely on the right utaona kuna mtu mwingine which suggests this is a shooting ya video. hata huyo dada anaigiza tuu kushangaa sio real. Wima na Jokata wasingemgombania na kujiabisha kama Dayamond angekuwa ******.
Punga lingine hili hapa, mtajitambulisha wenyewe kwa matendo yenu. Kwahiyo kwa sababu Marvin Gaye alikuwa anatowa takko na Elton John anatowa takko hivyo unahalalisha ni ruksa Diamond kutowa takko pia.Ama kweli mihanithi utaijua tu. Haiishi kuponda na kutuhumu wenzao.
Wanja wanapaka kuanzia 50 Cent na G-Unit nzima, Jay-Z, Rick Ross, Chris Brown, Kanye West, Akon, P. Diddy, you name it, lakini yote hayo hamuoni.
Mtaishia kulialia tu humu kudaadeki!
Wewe ni Kilaza kabisa, tena for ur information mimi nimefanya kazi kwenye hiyo Industry ya Commercial advertisement for tv kwa miaka zaidi ya mitano tena kwenye Art Department ambayo inahusika na kupamba, hakuna kitu cha namna hiyo.ebu nitajie ni msanii gani wa kiume ambaye amewai shoot video na kampuni kubwa hajafanya ambacho anafanya Diamond..au kwa sababu awajasambaziwa picha zao??