Mmmh baba ubaya na wewe umezidi, tutaanza kukuita baba nisipitwe maana usione uchi unautaka mxiuuu, bahati mbaya mastaa wa nigeria wanajielewa na huyo omotola kaolewa na billionea sasa sijui utamdanganya na nini, au utampa murrano kimeo kama ya mama ubaya??

​Sidhani kama kamaanisha kawapenda kimapenzi, ila itakuwa ni kwa kazi zao ila vyombo vya habari ndo vilivyo kukuza mambo.
Hata mie nimeelewa hivyoooo
Diamond kwa kik hajambo, ila zinamsaidia kumpandisha daraja, kesho atasema anampenda mke wa rais ilimradi tu tuongee ha ha ha kazi na dawa, huku kazi huku maneno....go diamond gooohizo zinaitwa 'stunts', hiyo ni akili tu ya kutaka kupata attention Nigeria
Shindwa na ulegee na utokomee kabisa nakufunika katika jina la baba....shwain ha ha haMi naomba iwe kweli jamaniiiiiii!!ninahamu ya kumuita wifi Omotola!!!diamond fanya kweli banah we muislam mwisho wanawake 4!!!
Mi naomba iwe kweli jamaniiiiiii!!ninahamu ya kumuita wifi Omotola!!!diamond fanya kweli banah we muislam mwisho wanawake 4!!!
Ndio hivo haya maisha yanaenda jins utakavyo, huyo boya alikuwa vizuri lakini hamna kitu kichwani anaishia kukaa nyumba mbovu ya kupanga, + usafiri wa noah wakati mwenzake ni nuru ya Africa sasahivi nyumba 10, usafiri mkaaaali....
Mmebaki kuwa historia kabla siku yenu haijafika...
Shindwa na ulegee na utokomee kabisa nakufunika katika jina la baba....shwain ha ha ha
Ndio hivo haya maisha yanaenda jins utakavyo, huyo boya alikuwa vizuri lakini hamna kitu kichwani anaishia kukaa nyumba mbovu ya kupanga, + usafiri wa noah wakati mwenzake ni nuru ya Africa sasahivi nyumba 10, usafiri mkaaaali....
Mmebaki kuwa historia kabla siku yenu haijafika...
Haaaa atakua anavuka borders tu from Uganda to Lagos Nigeria....