Diamond akiri kumpenda Omotola wa Nigeria

Diamond akiri kumpenda Omotola wa Nigeria

Aiseee basi sawa domooo kaya tumekusikia

ImageUploadedByJamiiForums1435925575.263913.jpg
 
Kuna wengi wanaongea hayo ni ya kawaida acha ajitafutie kiki wasikilize miziki yake

Kumekuchaaaaa

Navyomwaminia huyu lazima anakuwa ameshayaongea hayo na Zarina wake kabla. So hata magazeti ya East Africa yajaribu vipi hawadundiki.
 
Omotola inajulikana ameolewa, hata mimi natamani wakina fulani wa Hollywood kila siku nikiwaona kwenye movie.
 
Halafu watu wanashimdwa kujua source ya hii habari ni global publishers......ukifuatilia utaona diamond hajatamka popote zaidi ya kusema kwa mujibu wa chanzo cha karibu sana na diamond....kwa mtindo huu,magazeti ya udaku yataendelea kuuza sana kama hatuwez kuchuja mada
 
Aiseee basi sawa domooo kaya tumekusikia

View attachment 265449

Ndio hivo haya maisha yanaenda jins utakavyo, huyo boya alikuwa vizuri lakini hamna kitu kichwani anaishia kukaa nyumba mbovu ya kupanga, + usafiri wa noah wakati mwenzake ni nuru ya Africa sasahivi nyumba 10, usafiri mkaaaali....

Mmebaki kuwa historia kabla siku yenu haijafika...
 
Mmmh baba ubaya na wewe umezidi, tutaanza kukuita baba nisipitwe maana usione uchi unautaka mxiuuu, bahati mbaya mastaa wa nigeria wanajielewa na huyo omotola kaolewa na billionea sasa sijui utamdanganya na nini, au utampa murrano kimeo kama ya mama ubaya??

zari amezalishwa na bilionea watoto 3, wamekaa pamoja zaidi ya miaka 11 kwenye mahusiano, chuo, hotels za kisasa, lamborgini 2, magari kibao ya kifahari kamfuata dangote mwenye bmw x6 tu ivan anabaki kutapatapa mara kwa kiba, wema unafanya mchezo nin.......
 
Ila udaku tumewazoea, chibu anauwezo wa kuingia hapo ila kwa sasa hana ujinga wa kuongea hivyo wakati yupo na mtoto mkali kuliko huyo omotola....
 
Mmmh baba ubaya na wewe umezidi, tutaanza kukuita baba nisipitwe maana usione uchi unautaka mxiuuu, bahati mbaya mastaa wa nigeria wanajielewa na huyo omotola kaolewa na billionea sasa sijui utamdanganya na nini, au utampa murrano kimeo kama ya mama ubaya??

Sadhani kama mume wa omotola ni billionaire, jamaa ni captain tu wa ndege mkuuu...
 
akili za kuambiwa changanya na zako kibaya alicho ongea mshkaj kumpenda mtu sio mpaka iwe kimapenzi ya ngono hhh asiejua maana haambiwi maana
 
hizo zinaitwa 'stunts', hiyo ni akili tu ya kutaka kupata attention Nigeria
Diamond kwa kik hajambo, ila zinamsaidia kumpandisha daraja, kesho atasema anampenda mke wa rais ilimradi tu tuongee ha ha ha kazi na dawa, huku kazi huku maneno....go diamond gooo
 
Pig tu mwanangu chibu, kama pesa unatengeneza na dada zao we wapige tu
 
Mi naomba iwe kweli jamaniiiiiii!!ninahamu ya kumuita wifi Omotola!!!diamond fanya kweli banah we muislam mwisho wanawake 4!!!
Shindwa na ulegee na utokomee kabisa nakufunika katika jina la baba....shwain ha ha ha
 
Ndio hivo haya maisha yanaenda jins utakavyo, huyo boya alikuwa vizuri lakini hamna kitu kichwani anaishia kukaa nyumba mbovu ya kupanga, + usafiri wa noah wakati mwenzake ni nuru ya Africa sasahivi nyumba 10, usafiri mkaaaali....

Mmebaki kuwa historia kabla siku yenu haijafika...

Alikiba hajajiandaa kurudi ni mashabiki tu wamemfosi hivyo kila anachokifanya anafanya kwa mashindano badala ya kutimiza malengo yake, hawezi kujifananisha na diamond afanye tu kama yeye kwa kweli
 
Ndio hivo haya maisha yanaenda jins utakavyo, huyo boya alikuwa vizuri lakini hamna kitu kichwani anaishia kukaa nyumba mbovu ya kupanga, + usafiri wa noah wakati mwenzake ni nuru ya Africa sasahivi nyumba 10, usafiri mkaaaali....

Mmebaki kuwa historia kabla siku yenu haijafika...

Chibu yuko juu kiba bdo anaishi gheto
 
Back
Top Bottom