heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Hapo ndio tunapoona matumizi mabaya ya fedha.je Show ya mwanza itamlipa kiasi arudishe nauli yake.ama ndo yale yale unatumia dola 10000 huku malipo ya show dola 5000
kwa hiyo tusitumie picha za diamond. acha ujingaa we ulikuwa wap kuweka habari. kapige mkwara vilaza wenzako
unabishana na huyu standard seven wa shule ya kata...ukitaka kumuweza badili lugha kwenda English uone atakavyotokwa na povu...
yeah n kweli me standard 7 na english sijui..
ila nina maisha mazuri so what??
najivunia kazi yangu...
hao hao mnaochukia ndio
hao hao mnaotumia picha zangu kutengenezea habari..
mngejua maisha ya diamond basi tu..sio mtu wa starehe kabisa..pesa yake nying huitumia kuboresha kaz zake..kama hapo kakodi private jet kwa dola 7000 ili awahi show mwanza katumia pesa yake mwenyewe...
pia pesa yake nying huutumia kwa chakula nyumban na mafuta ya gari..zinazobk ana invest sana..na mngejua mirad mikubwa aliyo nayo cjui mgesemaje...time will tell subirin tu ntajionea..
so diamond mtoane kabisa kwenye kund la watumia pesa vibaya..
hunifham..hufaham maisha yangu..huna haki ya kusema me kapuku..
ushauliza maana ya hilo jina na na ni kwa nn nalitumia?wacha kuongea usichokijua
Sihamini Diamond kaludiana na wema,domo umebugi wema mwanamke gani anasagana na bongo movie,ametembea na wanaume wa tanzania nzima aibu meeeeeein,nenda kijijini ukaoe hachana na wanawake wa mjini
mi ni mwalimu sasa nikiona the way unavyo comment napata picha akili yako ikoje hv hata hesabu za kutoa unaweza kweli?
Dogo jaribu kuwa mpole,lazima kuna sehemu unakosea,angalia ulipojikwaa sio ulipodondokea,kwanini watu karibu wote humu jukwaani huwa wanakupinga
ha ha ha ha ha kijana hujavuka mto bado kuna matajiri wengi walikua na pesa zaidi ya huyo kidampa na wakaishia kwenye umaskini usitukane watu eti umaskini wao unawafanya wamchukie diamond kama unakielewa vizuri kimombo basi msemo huu maarufu ukusindikize katika tafakuri nzito "mti wenye matunda..afu ujue tz wenye shida n weng so wamwonapo mtu hupo step flan zid yao..
hasira zote huhamishia kwake..kwan diamond kakosea nn mpaka baadhi ya watu wamchukie?
uandishi wako tu unaonesha una uwezo mdogo mno wa kufikiri kwakuwa huna vision wala mission inayoonekana kwenye posts zako hapa jf zaidi ya mipasho ya huko kinondoni.we kujua akili yangu ikivyo..hainisadii wala kunpunguzia kitu ndugu
ucjali ..he will never marry her...
ukweli kazi yako siyo mbaya tatizo unajisahau unadhani na wewe ni star wakati ni kapuku, utaanzishaje uzi unakuhusu kwenye jukwaa la celebrities wakat wewe sio, pili mwanaume kujiita kifesi ni dalili za ushoga
ucjali ..he will never marry her...
ucjali ..he will never marry her...