Dully na Chid Benz ndio walitoa siri hiyo kwamba hawataki kufanya show tena nje ya nchi maana majina yao makubwa lakini wakienda nje ya nchi wanafanya show sebuleni kwao waliona ni kama kuwatusi.
Sasa yule babu tale kazi yake nini kama manager,coz ni lazima uone ukumbi, ujue time na malipo then ufunge mkataba, yawezekana mikataba yao wanafungia kwenye computer ,kwa email negotiation na picture
Kimewaka Germany Diamond hayupo ni fujo police wako hapa inavyosemakana Diamond ajalipwa kagoma kuja wazungu wamekua wekundu, na walioandaa show wanaigeria inasemekana sio Mara Yao ya kwanza kufanya utapeli aibu sana Afrika(one of my friend amepost
Kwa mbali napata picha kuwa Diaspora wengi wana maisha magumu.
Kimewaka Germany Diamond hayupo ni fujo police wako hapa inavyosemakana Diamond ajalipwa kagoma kuja wazungu wamekua wekundu, na walioandaa show wanaigeria inasemekana sio Mara Yao ya kwanza kufanya utapeli aibu sana Afrika(one of my friend amepost
Siku hzi mnafanya show grossary? mwanzo mlikuwa mnafanya sebuleni hongereni kwa ku-advance.
huko hamna wazungu? naona ngozi nyeusi tu, halafu mbona ka grosary vile!
Aisee ni kweli bhana hapo ni parking ya magariHapa ni German au Bukoba, Kuna sura km 3 hapo nawajua ni watu wa Bukoba. Pia mbona black tupu hapa? Halafu kwa nyuma naona km Kuna magari, hapo ni parking? Hata huyu Diamond ni km amesimama juu ya boneti