kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Dully na Chid Benz ndio walitoa siri hiyo kwamba hawataki kufanya show tena nje ya nchi maana majina yao makubwa lakini wakienda nje ya nchi wanafanya show sebuleni kwao waliona ni kama kuwatusi.
Kumbe ndio maana wamebadili kumbi kwa sasa.