Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ndiko kunusurika kwenyewe, hata mleta mada hajasema kama Diamond kapigwa, ila kasema nusu - apigwe = nusurika. hata kama huyo Diamond alipelekwa kwenye show late, ina maana yeye hakuwa na programme ya show kama ingeanza saa ngapi, kama alikuwa na programme ni kwa nini alikbali promoter amcheleweshe. Mkiambiwa msome, mnasema kuwa mna vipaji mnaanza kuimba mkiwa form 1, mkifika form 2 mnaacha shule. Ukiwa na elimu hata kama umejiajri, inakusaidia kujua jinsi ya kuishi na watu, hata wewe haya matusi uliyoporomosha, nina wasi wasi na uelewa wako,
Asante Stutgart. Aliwahi kufanya hivi London machoko wenzake wakamshangilia tu.
taifa lipi mkuu?
Kwani alienda kuwakilisha taifa huko?