Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Lipia dstv yako utamuona akifanya yake uwanjani
Anajulikana wapi huyo zaidi ya kariakoo na mchikichiniKiba hana mwaliko?
Hangera zake bhana[emoji122] [emoji122]Shirikisho la soka barani africa CAF limemchagua diamond platnumz na kumlipa mamilioni kutumbuiza kwenye sherehe za uzinduzi wa michuano ya mataifa africa yatakayofanyika nchini Gabon maarufu kama Afcon2017
Michuano hiyo itafanyika mapema mwakani 2017
Uganda ndo taifa pekee ya africa mashariki lililofanikiwa kufuzu
Akiongea kwenye kipindi cha Times Fm manager wa diamond sallam ameongeza kuwa diamond tayari ana booking mpaka julai 2017. Kama unamtaka inabidi usubiri hadi julai
Diamond sio wa kisport sport me binafsi shabiki wake najua jamaa atapiga show ya ukweli sana hajawai kuaribu show zake
Hahahha eti Kariakoo.Cc: Ali Kiba, Nifah, Seven Mosha, Kariakoo
Hata mm namkubali sana diamond niko tayari kupigana kwa ajili yake kama kuna mtu anataka kumdhihaki, halafu yuko vizuri anajituma japokuwa ana mapungufu ya hapa na pale ya kibinadamu kama tulivyo wote lkn jamaa ni msanii bora afrika kwa sasa Mungu kamwinua hakuna wa kupingana na MunguDiamond sio wa kisport sport me binafsi shabiki wake najua jamaa atapiga show ya ukweli sana hajawai kuaribu show zake
wivu wa kikeAtaenda ametanguliza domo lake mbele kutudhalilisha kwa kuropokwa mambo ya uzinzi hadharani.
Akili ndogo haiwezi kuelewaUjielewi wewe na unachokiandika
Hawamjui jamaa, aongeze bidii[emoji85]Inamaana KIBA hao CAF hawamjui au!!???
Kweli kabisaKwasasa Wanakuambia Huyo Jamaa - Diamond, Anadanganywa Na Manager Wake Na Wananunua Sana Vishow Bila Kuangalia Hasara Wanayokula - Wananunua Vishow Huku Wakila Hasara Ili Tuwaone Wana Show Nyingi - [akili Za Kiba Na Mashabiki Wake ]
- Unajua Mvumbuzi Wa Internet Na Simu Ameleta Janga Zito Mno Duniani, Yaani Hata Jitu Kilaza Wa Vilaza Dumbest Na Lenyewe Linatoa Maoni Yake Kupitia Mtandaoni, Sasa Ukijifanya Wewe Mwalimu Wa Kujitolea Mitandaoni Utapasuka Bure Kufundisha Mataahira
Hata akipata kombela dunia utasema mambo madogoMambo madogo sana haya,watu wanatumbuiza kombe la dunia nini CAF?
[emoji13] [emoji13]