Diamond alamba mamilioni ya CAF, Kutumbuiza uzinduzi wa AFCON 2017

Diamond alamba mamilioni ya CAF, Kutumbuiza uzinduzi wa AFCON 2017

Hapana chezea Platnumz. Kibwabwa sio level zake hizi.
 
Shirikisho la soka barani africa CAF limemchagua diamond platnumz na kumlipa mamilioni kutumbuiza kwenye sherehe za uzinduzi wa michuano ya mataifa africa yatakayofanyika nchini Gabon maarufu kama Afcon2017
Michuano hiyo itafanyika mapema mwakani 2017
Uganda ndo taifa pekee ya africa mashariki lililofanikiwa kufuzu
Akiongea kwenye kipindi cha Times Fm manager wa diamond sallam ameongeza kuwa diamond tayari ana booking mpaka julai 2017. Kama unamtaka inabidi usubiri hadi julai
Hangera zake bhana[emoji122] [emoji122]
Diamond sio wa kisport sport me binafsi shabiki wake najua jamaa atapiga show ya ukweli sana hajawai kuaribu show zake
 
Diamond sio wa kisport sport me binafsi shabiki wake najua jamaa atapiga show ya ukweli sana hajawai kuaribu show zake
Hata mm namkubali sana diamond niko tayari kupigana kwa ajili yake kama kuna mtu anataka kumdhihaki, halafu yuko vizuri anajituma japokuwa ana mapungufu ya hapa na pale ya kibinadamu kama tulivyo wote lkn jamaa ni msanii bora afrika kwa sasa Mungu kamwinua hakuna wa kupingana na Mungu
 
Ni matunda ya kua na management nzuri.Pia Kua ukanda ambao yeye anafanya vizuri kuliko wengine.Ukiigawa Africa kwa maana ya zones(East,West,North,South) inakua rahisi kuonekana.King frm East.Hard work pays..keep it Chibu.
 
Hongera yake, cha msingi aongeza juhudi zaidi
 
Kwasasa Wanakuambia Huyo Jamaa - Diamond, Anadanganywa Na Manager Wake Na Wananunua Sana Vishow Bila Kuangalia Hasara Wanayokula - Wananunua Vishow Huku Wakila Hasara Ili Tuwaone Wana Show Nyingi - [akili Za Kiba Na Mashabiki Wake ]

- Unajua Mvumbuzi Wa Internet Na Simu Ameleta Janga Zito Mno Duniani, Yaani Hata Jitu Kilaza Wa Vilaza Dumbest Na Lenyewe Linatoa Maoni Yake Kupitia Mtandaoni, Sasa Ukijifanya Wewe Mwalimu Wa Kujitolea Mitandaoni Utapasuka Bure Kufundisha Mataahira
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom