Diamond alamba mamilioni ya CAF, Kutumbuiza uzinduzi wa AFCON 2017

Diamond alamba mamilioni ya CAF, Kutumbuiza uzinduzi wa AFCON 2017

Ataenda ametanguliza domo lake mbele kutudhalilisha kwa kuropokwa mambo ya uzinzi hadharani.
hizo avatar mnazoweka mnawaaibisha wahusika wa hizo picha.

Yaani unakuta mtu kapost kitu
ukiangalia avatar na kitu alichoPost hata haviendani..

nakushauri umuondoe huyo mtu
hapo humtendei haki.. siamini kama angeona picha inatumiwa na mtu kama kama angekuangalia tu!
 
Iv diamond ukiwaweka ay, mwana fa nani mkali uyo domo sioni kitu kumpamba tu
huwaga hawakosekanagi watu wenye vijiba vya roho.....sasa kumpamba vipi wakati kazi yake inaonekana hao unaowataja wakati wao umeshapita sasa hivi wanaelekea mwishoni hata wao wanamkubali diamond sasa wewe kijitambala kimoja cha deki sijui unazungumza nini??
 
sasa kwanini wasichukuliwe hao unao waita wakali ili shoo iwe kali zaidi?

ila wamchukue huyo unaye dai anapambwa tu...
mkuu....fanya.RESEARCH watz wengi hatupendi mafanikio ya wezetu tuna.penda tuwe masikini wote hyo.ndo shida yetu .

Ukifanikiwa lazma.waje dought reasons.it hate me much and
I.don't. know y we have such behaviour .
 
Alishasema sio kote anapotumbiza analipwa kwani alisema kujitolea kwake ndiko kunakompa umaarufu
 
Alishasema sio kote anapotumbiza analipwa kwani alisema kujitolea kwake ndiko kunakompa umaarufu
Hiyo ilikuwa wakati bado hajatoka sasahivi humpati bure
Kwa taarifa yako tu , ataanza kutumuiza tarehe 5 nchini nigeria kwenye utoaji wa tuzo ya mchezaji bora wa Africa then tarehe14 atatumuiza Gabon kwenye muchuano ya AFCON
 
Ila anakazi yakufanya nafikiri halali maana kutumbuiza watu sio mchezo
kile kichwa anakijua mwenye kichwa

hanaga kujiandaa sana...

makolabo yake mengi huwa anasifiwa sana na mtu aliemshirikisha kwenye uwezo wa kutunga nashairi ndani ya mda mfupi..
 
Back
Top Bottom