Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Hili dole must av the meaning bcaz most people with fame,wamewahi kutake photo za namna iyo..?!
Yeye kama yeye hawezi kuji-control kwa sababu mbali mbali, hata wasanii na watu wakubwa wa nje huko wanazidiwa na ghasia zinazokuja pamoja na umaarufu + mafanikio. Anahitaji watu watakaomuongoza ili mambo kama haya yasijitokeze. Series ya matukio ya ajabu tangu amebeba hiyo tuzo, sio ishara nzuri.
Jamaa saivi ni level nyingine, ana mashabiki karibu Africa nzima. Hii issue sisi tunaweza kusamehe kwa sababu ni kijana wetu, ila sidhani kama nje ya bongo watamuelewa.
Huyu bwana mdogo ameonyesha upunguani wa hali ya juu sana....ameshindwa kujua maana ya yeye kuwa ni kioo cha jamii
Ameshindwa kujua kuwa nyuma yake kuna vijana wengi wanaotamani kuwa kama yeye katika tasnia ya muziki wa kubana pua....kwa picha hii anatoa funzo gani kwa wazazi ambao vijana wao wanaomba sapoti zao kuweza kuwa wanamuziki wa kimataifa hapo baadae.....bila shaka kwa picha hii hakuna mzazi atakayependa mwanaye awe kama huyo kijana....achilia mbali kuwa mwanamuziki.....
Hili ni tusi kwa Watanzania wote maana yeye ndiye anayetuwakilisha kimataifa....
Katika mazingira ya kiungwana anatakiwa aiombe radhi jamii ya watanzania....
Na iwe kama ulivyonena..good to know thatYeah it has a meaning, a lot of them actually. It could simply be, 'get off my biz/D', 'Go screw yourself', 'eat a D, or suck one', and a lotta other offensive & negative meanings, it just depends on the context.
KikulachoChako yaani kunakuaga na watu wanakua na mahaba kupitiliza nazan maana hawaoni kama jamaa kakosea
Tumeona na tumesamehe kabla hajaomba msamaha. Enheeee una lingine?
Nisaidie maana ya Msanii kuwa Kioo cha jamii.
Halafu mzazi ashindwe kufurahia mafanikio ya mwanaye aangalie hilo moja baya alilolifanya? Anyway nisaidie kujibu hilo la swali la kwanza.
hyo ni perception tu ya watu, hatujui alimaanisha nini. tuyaache
Hayo hua mnaita mahaba nipofushe
Na la ajabu zaidi rais wetu mheshimiwa sana Kikwete amekua akimuita sana ikulu. Kwa maana ya kidole hicho hata yeye kaambiwa na hapo ndo ninapopata hasira watu wanavyomsifu humu. Inasikitisha sana mheshimiwa wetu anavyomsaidia huyu dogo ili atusue lakn haya ndo majibu yake. Ngoja nimuite Dada yake tuone atasemaje mzurimie njoo
alimaanisha TUSI
Diamond ajafika umaarufu wa Lucas aka mr nice lkn Leo hii you wapi? Juma nature, ay, fa, jaydee, pr j, na ze like
Ebu thibitisha kwa facts n evidence kuwa diamond bado hajafikia umaarufu wa mr. Nice...au ndo bado ubongo wako ni wa miaka ya 70 wakati unaishi miaka ya 2000 sasa!
Diamond ajafika umaarufu wa Lucas aka mr nice lkn Leo hii you wapi? Juma nature, ay, fa, jaydee, pr j, na ze like wapo kitambooo na hadi Leo media zinawazungumzia bado wana hit yani koz ni wana nidham na kazi zao ni hawaendeshwi na mihemko ya mashabiki ila sasa huyu jamaa yy anaona ataheat time zote mi namwambia hivi dayz ar counted mtasikia pyuuuuuy!!!! Kazikwa katupwa kule, ashukuru media bdo zinambeba. Wako wapi akina rihanna pamoja na kuvuma kimziki je hadi sasa anaheat tena yy ni wa kimataifa zaidi. Mi nawaambia hivi atakae dumu milele watakao dumu kuheat milele ni SIMBA NA YANGA.
Diamond ajafika umaarufu wa Lucas aka mr nice lkn Leo hii you wapi? Juma nature, ay, fa, jaydee, pr j, na ze like wapo kitambooo na hadi Leo media zinawazungumzia bado wana hit yani koz ni wana nidham na kazi zao ni hawaendeshwi na mihemko ya mashabiki ila sasa huyu jamaa yy anaona ataheat time zote mi namwambia hivi dayz ar counted mtasikia pyuuuuuy!!!! Kazikwa katupwa kule, ashukuru media bdo zinambeba. Wako wapi akina rihanna pamoja na kuvuma kimziki je hadi sasa anaheat tena yy ni wa kimataifa zaidi. Mi nawaambia hivi atakae dumu milele watakao dumu kuheat milele ni SIMBA NA YANGA.
Tunaposema kuwa msanii ni kioo cha jamii tunamaanisha kuwa msanii akiwa kama mwanafasihi ana jukumu la kuelimisha, kuonya na kufundisha....lakini vile vile kama msanii ataitumia vibaya taaluma yake basi ataipotosha jamii....
Leo hii tunashuhudia watoto wadogo wakikopi na kufatisha kuimba mashairi ya kipuuzi ya wasanii wapuuzi....ambayo hata kwa akili ndogo utagundua kuwa yanapotosha jamii baada ya kuelimisha.....refer msanii anaimba akisifia pombe na ngono....unadhani inaleta impact gani kwa jamiii....??
Sipendi kuwashabikia hawa wasanii maandazi wabongo lakin kwa tafsir ya harakaharaka, huo ni ukosefu wa elimu maana huwezi kuta msanii aliyesoma na ajua ethics za kazi yake kuna vitu hawezi fanya vya kijinga, lakini huku bongo msanii anatambua kipaji chake baada ya kufeli shule, unakuta hata meneja wake naye ni mhuni tu mcheza ngoma sasa unategemea nini?
Daa ila jamaa kanisikitisha sana,yaani hata sisi ambao hatunaga timu na tumempigia kura tunajiuliza mara mbilimbili huyu jamaa alipania sana yani nikipata tu tuzo watanikomaa, yaani kama jana uliangalia kipindi cha cloudz e cha sahadee saa 2:30 maneno aliyoyatotoa wakati mashabiki wake wamenda kumpokea airport ya kupondea wezeke,sizani kama huyu jamaa anatamini bongo kuwe na international artist zaidi yake, yaani anataka awe yeye tu kama mashabiki wa team yake wanavyotaka wasanii wote wamuabudu yeye..
Nilikuwa nasubiri utoe jibu kama hili, nimekujibu simple Tumeona na tumesamehe je ulitaka tumnyonge?
#Nilikunatakakuelewadhamirayakokatikahili !