Na la ajabu zaidi rais wetu mheshimiwa sana Kikwete amekua akimuita sana ikulu. Kwa maana ya kidole hicho hata yeye kaambiwa na hapo ndo ninapopata hasira watu wanavyomsifu humu. Inasikitisha sana mheshimiwa wetu anavyomsaidia huyu dogo ili atusue lakn haya ndo majibu yake. Ngoja nimuite Dada yake tuone atasemaje
mzurimie njoo
mbavu zangu mie dadaake wa jamii forums labda, acha hizo
Shark
acha awape lililowahusu,
#watanyooka tu. kwani yeye sio binadamu kama sie wengine.
anaishi toka umasikini na kuuza mitumba barabarani wapate kura amsaidie mama yake pia
- leo kapiga kazi bila shoti kati watu wanamuonea wivu tena mtoto wa uswahilini na wao eti wazungu na kula.lwa nae walila.lwa amezidi kupaa kampata mpenzi anayempenda wivu unawaingia kutoka kila kona na wa maendeleo yake wanataka ashuke...fikiria ingekuwa nani hapa duniani angefurahia hayo na kukaa kimya
Mwanamke mmoja mange kuuza tu lipstick akaona mwingine wa nchini anauza alilalamika sana eti wanamwaribia biashara yake ka vile yeye ni muuzaji pekee kwa kusaini makaratasi kuwa mwingine asiuze akalia na kutukana sana sasa ndio uchungu hata wa kutafuta pesa ya maziwa ya watoto iko hivyo
haya turudi kwa Chibu na juhudi zake na anakaa kila kona mitandaoni akiingia wana mtagi aone kuwa yeye hawampigii kura wanapigia wa nchi za nje...nani hakitamkuna rohoni hapa duniani
wamwache hawape dozi maana mtoto wa Tandale sasa ni levo ingine kabisa kawazidi
hilo dole kama mtu anamchukia basi kalipata, kama mtu ana roho nyeupe nae basi atacheka kama mie
msemo mpyaa huu
kunya anye kuku asinye bata, hayo maneno machafu wenyewe waliyataka
wengi sana hawakutetea wala kusema juu ya yaliyomparamia na kukejeliwa, kachukua tuzo kila mtu mwalimu wa nidhamu sijui profesa wa kumshauri mdomo wake na wale waliopiga kampeni asivotiwe bali wavotie wa nje hawakuwakashifu.
na dole hilo linaklomuhusu alilambe kabisa
msisahau kumpigia kura ma kategori kibao