Diamond alewa sifa na kutukana hadharani

Dada yangu mbona unajishushia heshima yako kwa kutetea vitu vya kipuuzi kama hivi....hata kama kuna watu hawampendi na wanamuombea mabaya mbona hiyo ni kawaida hapa duniani.....kwanini asitumie chuki zao kama changamoto za kawaida za kimaisha...
 
Msanii anatokea kwenye jamii hilo ni la kwanza, ukimuona anabehave kama anavyobehave ujue ndivyo jamii yake ilivyo. Hii ndiyo maana halisi ya neno msanii ni kioo cha jamii (Reflection).

Wasanii wetu ni malaya, wana matusi na tabia kibao mbaya just like wanajamii wengine walivyo , wala msitake kumbebesha msanii umalaika kwamba ye anapaswa kufanya mazuri tu! Wala wasanii kuwa inspiration kwa young generation haiwapi wao mzigo wa kuwafundishia watoto wenu maadili mema.

Kwahiyo tujitahidi kila mmoja wetu alee mtoto wake katika maadili mema ili tutengeneze wanajamii wabaadae (wakiwemo wasanii) wenye maadili mema.
 
ndio maana hata kura sikupiga, niliadhimia hivyo tangu alipoonesha unafiki kwenye KTMA, ..
saiz kawa nominated tena category sita na 1 ya collabo ila kwq ujinga wake sitathubutu kumpigia kura, bora niache tu maana mtu anabebwa lakini habebeki
 
Mkuu mimi mwenyewe ni shabiki mzuri wa Diamond ila kwa hii picha amejishusha.

Msanii mkubwa kama yeye hawezi kukosa maadui, hivyo ni jukumu kujikotro lakini kwa hali hii amekosa ushauri.

Umeambiwa wapi yeye mungu wa pili???

Haters wote linawahusu hilo.....

DAVIDO NI MSANII MCHANGA???
 
Haya mpwa nakutakia usiku mwema....ngoja nihamie kwenye siasa maana huku mnapaweza wenyewe
 
Mkuu LILE SPECIAL KWAAJILI YENU...

NAJUWA LIMEKUIGIA NDIOMAANA UMETOKA POVU LOTE HILO

MTANYOOKA TU
hiyo ndio dawa ya wajinga kama nyinyi
 
Nani kakwambia kamtusi Raisi kikwete? Unamaanisha hujui hilo dole ni special kwa watu wa aina gani? Binafsi hata halinisumbui kwani halinihusu na sijui kwanini linihusu!
Sitakuwa na tatizo nae, zaidi ntamwambia acha upuuzi halafu nitamsamehe.
Vipi una lingine?
#ukijishtukiaujuelinakuhusu .
 
Kunimention hakuna tatizo mkuu.. hii ni forum hatuchat sms hapa kusema nimejipendekeza...

Ukiongea utumbo lazima ujibiwe kwa utumbo..
 
ndio maana hata kura sikupiga, niliadhimia hivyo tangu alipoonesha unafiki kwenye KTMA, ..
saiz kawa nominated tena category sita na 1 ya collabo ila kwq ujinga wake sitathubutu kumpigia kura, bora niache tu maana mtu anabebwa lakini habebeki

Gundu hatupendi kupata kura za maskini wa mawazo kama nyinyi

HATUTAKI KUZUNGUKA DALADALA KAMA TEAM TEMBO, JHIZI LEVEL ZA MAJI MAREFU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…