KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
samahani naomba uniite kwenye ulipoandika kukemee tabia ya wivu wa wananchi wakati wanafanya kampeni asipate tuzo na pia kujaribu toka kila kona asipae kimuziki bali ashuke. au hata kuwaomba wasanii wasapotiane.
hilo dole litawagusa wanaojua ni hawampendi na wana wivu.
wa jamii tena, miaada anayotoa uhauioni hata anayoanzisha sasa
we niambie wapi umemtetea nikasome kwa furaha yangu, maana hilo dogo maneno yake si utachoka kabisa ya mswahili huyu.
Dada yangu mbona unajishushia heshima yako kwa kutetea vitu vya kipuuzi kama hivi....hata kama kuna watu hawampendi na wanamuombea mabaya mbona hiyo ni kawaida hapa duniani.....kwanini asitumie chuki zao kama changamoto za kawaida za kimaisha...