Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
we dwanzi tulia DOLE likuingie!..tija gani uliyonayo wewe kuanza kudharau makuzi na elimu za watu?
Dole linakuhusu,wewe na wenzio kama wewe!
Aaaagggg katusi kenyewe kadogooo #fakyuhatersKwa hiyo unatoa laana au? Kwanini tujifunze kwa walio shindwa? Diamond hawezi kudumu milele lakini zamu yake ikiisha bado atakuwa amejijenga na amewekeza na atazeeka vyema! Huyo Mr nice alichezea nafasi....!
Hiyo sign una hakika ina maanisha tusi tuu?
comment zako nyingi zimejaa ubishi wa kitoto husiokua na kichwa wala makalio.ni vizuri urudi shule ili ubongo ukue na angalau uelemike kidogo.ili badae uje kua member mwenye tija zaidi hapa jf.kwasasa jf umepotea njia japo taifa bado linakutegemea.sawa dogo?
Kwahiyo Wewe Kwa Akili Zako Za Kende Unamuona Yuko Sahihi?
Madole mawili..."NEXT TIME ITAKUWA MIKONO MIWILI
Hahahaaa haaaaaa haaahaa hahhahahha haya byeee.
Byee Mama Weee.Nenda Kaitunze Ndoa Yako.Msalimie Shemeji Na Ubaki Njia Kuu.Ila Husisahau Kua "KingKiba Is The Greatest"
Ha ha ha dole la davido hawakuliona wameona la diamond tu #wanawashwaDavido alipiga mbele ya nani bibiyako???
The tandalez aren't royal mydear.
Yaani nimemdharau sana huyu mtu kuiga tuu.
Ungekua Unajua Kuushirikisa Ubongo Wako Vizuri Ungekua Binadamu Wa Maana Sana.Ebu Fanya Zoezi Dogo Tu.Angalia Kiepe Yai Amejoin Jf Lini.Na DogofGOD Amejoin Lini.Halafu Tafuta Post Yangu Yeyote Kabla Ya Hapo.Halafu Ndo Utajua Kati Ya Mimi Na DogofGod Nani Kamuiga Mwenzie.Ukimaliza Rudi Humu Ufute Ule Usemi Wako
Mkuu we don't have to go that far hatupo kufahamiana hapa
ISHU NI KWAAAMBA MNAFANANA WOTE WAZEE WA SHUDU HAIJALISHI NANI KAMUIGA MWENZAKE
NA MIMI NASEMA HIIIII
MTANYOOKA TU!!!!!
Mkombozi kapata breakdown huko porini, yupo anajikongoja kwa mguu, hadi afike sio leoMkomboz anakuja mwenye heshma na adabu ali kiba for really
huyu mond hana nidhamu kabisa
Mkuu we don't have to go that far hatupo kufahamiana hapa
ISHU NI KWAAAMBA MNAFANANA WOTE WAZEE WA SHUDU HAIJALISHI NANI KAMUIGA MWENZAKE
NA MIMI NASEMA HIIIII
MTANYOOKA TU!!!!!
Sawa Tumekuelewa.Una Akili Sana Wewe.Aya Rudi Shule Sasa.Au Unasaka Tuzo Ya Ubishi Kwanza.?
#Form2KatikaUboraWao
Kwahiyo Wewe Kwa Akili Zako Za Kende Unamuona Yuko Sahihi?