Diamond alewa sifa na kutukana hadharani

Diamond alewa sifa na kutukana hadharani

we dwanzi tulia DOLE likuingie!..tija gani uliyonayo wewe kuanza kudharau makuzi na elimu za watu?
Dole linakuhusu,wewe na wenzio kama wewe!

Nimeshasema Huwa Sibishani Na Watoto Wa Sekondari.Mrudi Shule Sasa Shule Zimeshafunguliwa.Msiwe Na Haraka Jf Hipo Mtaikuta.Nendeni Kwanza Mkanoe Mbongo Zenu.Jf Sio Mahali Pa Kuleta Ubishi Wa Kitoto.Ila Ni Mahali Pa Kujenga Hoja Mujarabu.Akili Inahitaji Inolewa Vizuri.Umenielewa Mdogo Wangu?
 
comment zako nyingi zimejaa ubishi wa kitoto husiokua na kichwa wala makalio.ni vizuri urudi shule ili ubongo ukue na angalau uelemike kidogo.ili badae uje kua member mwenye tija zaidi hapa jf.kwasasa jf umepotea njia japo taifa bado linakutegemea.sawa dogo?

shudu lote hilo kisa mafuriko kama unaona matatizo ya ukoo wenu ni kutokusoma usifikiri ni sawa kwa kila mtu unaekutana nae


aaaaaaala mtanyooka tu
 
The tandalez aren't royal mydear.
Yaani nimemdharau sana huyu mtu kuiga tuu.

MKUU LIMEKUCHOMA HILO HAKUNA CHA TANDALE WALA CHA BIBI YAKE LOYAL

MTANYOOKA TU!!!!


They see you doing good now it's kinda hard to
diss you
Niggas be sick when they remember all the bad
they wished you
Niggas be mad when they can't come and live
lavish with you
But I sped off in the Benzy, I see the envy when
I'm causing a frenzy
So I pop pills for 'em, cop cribs in the hills on
'em
 
Ungekua Unajua Kuushirikisa Ubongo Wako Vizuri Ungekua Binadamu Wa Maana Sana.Ebu Fanya Zoezi Dogo Tu.Angalia Kiepe Yai Amejoin Jf Lini.Na DogofGOD Amejoin Lini.Halafu Tafuta Post Yangu Yeyote Kabla Ya Hapo.Halafu Ndo Utajua Kati Ya Mimi Na DogofGod Nani Kamuiga Mwenzie.Ukimaliza Rudi Humu Ufute Ule Usemi Wako

Mkuu we don't have to go that far hatupo kufahamiana hapa

ISHU NI KWAAAMBA MNAFANANA WOTE WAZEE WA SHUDU HAIJALISHI NANI KAMUIGA MWENZAKE



NA MIMI NASEMA HIIIII
MTANYOOKA TU!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Naogopa kutukana ila nlimckza xxl alipo ulizwa kwa nn amepost clp ya joket na aksmalizia kwa kuandka na bado mtanyookatu. Yaan akivo jbu kunya nlichukia wakat huohuo et Ni mtoto wa kiswahili aaaaah bad naacha
 
Back
Top Bottom