Diamond, Ali Kiba na mtu wa tatu

Dimpoz ni kweli alikuwa na potential ya kuwa 'Top Player' kwa kipindi kile, ila tokea alipotoa Wanjera Graph yake ikaanza kushuka. Ben Pol ni msanii mkali ila hana potential ya kuwa Top Player kwenye muziki
BEN PAUL HAJIAMINI KAMA ANAWEZA MZIKI WA USHINDANI KAMA WA MOND NA KIBA!
OMMY NAONA KAMA KARIDHIKA FULANI VILE
BUT ALL IN ALL
VANESSA MDEE SIYO WA MCHEZOMCHEZO
 
BEN PAUL HAJIAMINI KAMA ANAWEZA MZIKI WA USHINDANI KAMA WA MOND NA KIBA!
OMMY NAONA KAMA KARIDHIKA FULANI VILE
BUT ALL IN ALL
VANESSA MDEE SIYO WA MCHEZOMCHEZO
Vannesa anajitahidi lakini siwezi muweka no 3, maana sioni kama kibongobongo anafanbase kubwa. Je anaweza kuandaa show kwenye ukumbi wa pekeyake akakusanya watu 500? Nadhani Lady Jaydee bado yuko juu yake maana anaweza kuandaa show yake hapa bongo, kenya au hata uganda na akajaza raia. Muziki unahitaji uwe na 'unyama' flani hivi ili uweze kuwa Top, kwa upande wa Ben Paul hana hicho kitu so hata aimbe vizuri vipi ni ngumu kuwa on Top, Ommy Dimpoz angeweza kutusua asingebweteka
 
Huyo mtu wa 3 unamjua ww?
 
Baraka yupo chini ya uongozi mmoja yeye na Kiba, Rock star......Abdul ni ndugu yake Kiba wa tumbo moja hivyo kuna ukaribu mkubwa.
Asante nimekuelewa,basi kiba hao sio "vijana wake" ila mmoja ni mwenzake wa Lebo moja, na mwingine ni ndugu yake wa damu na hayupo chini ya usimamizi wake.
 


nakubaliana nawewe na Mimi ni shabiki no 1 Wa komando jide , japo kibongo Vanessa hawezi jaza ukumbi wala kumfunika Jide lakini kimataifa hasa huko West Africa au south Africa baada ya jina mond na kiba jina linalofuata ni Vanessa Mdee na kuna kipindi ilifikia Diamond na Vanessa wanawakilisha East Africa Kwa upande Wa me na ke

Hao kina Ben Paul , rich mavoko , navy kenzo etc bado hawana majina nje ya nchi ukilinganisha na Vanessa .

Na ndo maana hata majuzi walipomtuhumu ametoka na treysongs akawajibu kwamba amemfahamu trey songs tangu Vanessa akitangaza MTV
 
1. ALIKIBA
2. DIAMOND
3. WEMA SEPETU
Hawa ndo wamemake headlines kila kona ya Africa Mashariki na nyota zao kali sana,kuwashusha ni vigumu sana sehemu walipo kutokana na nguvu ya ushawishi waliyonayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…