Diamond aliwakosea sana ATCL

Diamond aliwakosea sana ATCL

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
583
Reaction score
590
Jamani eeeeh...kelele.nyingi za Diamond na watu mtandaoni zimenifanya niweke hiii wazi. Nilikuepo eneo la tukio nikitoka mwanza kwenda dar. Huku nikiwa nimebook fastjet..ndege haikufika. Diamond alichelewa sana kufika airport. Dirisha la ndege linafunga 40 mins before departure tuliondoka na dakika 45.kafika kama sio saa mbili kamili na dakika 10.... kwa kawaida kwa warukaji wa ndege za tanzania hujua kuwa wanasaidiana. Kama fastjet imechelewa au haiji na kuna wateja wameshacheck in wa fastjet departure room na ndege haipo air tanzania inakubeba kama nafasi imebaki kama tu upo departure room... na kama air tanzania imechelewa au haipo na fastjet imefika uwanjani na wateja wa air tanzania wapo departure.room,Wateja wa fastjet wataingia wote alafu rubani atawaruhusu wateja wachache wa air tanzania wapande (tena bure) kama kuna nafasi.. mimi nilikuwa fastjet ila nilipanda air tanzania kwasababu kulikuwa na no show ya fastjet. Tena rubani anatangaza kabisa kwa abiria wake tunabeba wenzetu wa ndege flani kwani ndege yao haipo na abiria muwe wavumilivu. Hii imenitokeaara mbili...mara moja fastjet ilinibeba air tanzania ilikuwa haipo tena no charge nilikuwa naenda mbeya na juzi air tanzania imenibeba fastjet ilikuwa haipo..sidhani kama ni problem na ni wachache sana wanabahatika maana mnaweza pewa watu 10 tu au 5 kutokana na nafasi ya ndege. Hivo mpaka rubani agawe siti yako ni kwamba haujacheck in..angekuwa amefika angekuwa ndani kule kwenye departure room sio nje. Na siku hiyo wateja wa fastjet walikuwa wengii mnooo.
 
Yaani umeandika pumba za kiwango cha lami
 
Sheria zifuate mkondo wake.
 
Bora umeongea kwa ushaidi na umetulia San kujieleza. Kimble jamaa alitaka kuleta umaarufu kwenye shirika la walipa kodi akiwemo na yeye wenyewe?
Jamani eeeeh...kelele.nyingi za Diamond na watu mtandaoni zimenifanya niweke hiii wazi. Nilikuepo eneo la tukio nikitoka mwanza kwenda dar. Huku nikiwa nimebook fastjet..ndege haikufika. Diamond alichelewa sana kufika airport. Dirisha la ndege linafunga 40 mins before departure tuliondoka na dakika 45.kafika kama sio saa mbili kamili na dakika 10.... kwa kawaida kwa warukaji wa ndege za tanzania hujua kuwa wanasaidiana. Kama fastjet imechelewa au haiji na kuna wateja wameshacheck in wa fastjet departure room na ndege haipo air tanzania inakubeba kama nafasi imebaki kama tu upo departure room... na kama air tanzania imechelewa au haipo na fastjet imefika uwanjani na wateja wa air tanzania wapo departure.room,Wateja wa fastjet wataingia wote alafu rubani atawaruhusu wateja wachache wa air tanzania wapande (tena bure) kama kuna nafasi.. mimi nilikuwa fastjet ila nilipanda air tanzania kwasababu kulikuwa na no show ya fastjet. Tena rubani anatangaza kabisa kwa abiria wake tunabeba wenzetu wa ndege flani kwani ndege yao haipo na abiria muwe wavumilivu. Hii imenitokeaara mbili...mara moja fastjet ilinibeba air tanzania ilikuwa haipo tena no charge nilikuwa naenda mbeya na juzi air tanzania imenibeba fastjet ilikuwa haipo..sidhani kama ni problem na ni wachache sana wanabahatika maana mnaweza pewa watu 10 tu au 5 kutokana na nafasi ya ndege. Hivo mpaka rubani agawe siti yako ni kwamba haujacheck in..angekuwa amefika angekuwa ndani kule kwenye departure room sio nje. Na siku hiyo wateja wa fastjet walikuwa wengii mnooo.
 
Kama hujawahi kukerwa Na ATCL Na Fast jet Basi kiwango chako Cha ustahamilivu Ni Cha juu Sana
 
Stori tumeona kama wewe mtandaoni..si tulikuwa ndani toka saa moja hatujamwona

we muongo mzandiki,kama yeye alichelewa na akawa nje inamaana wewe ulikuwa ndani.asa ulimuonaje na ulijuaje kama kachelewa?
 
Uliwahi ndani ya ndege, uliwaonaje watu waliochelewa?
 
Ambao hatujawahi hata kuingia uwanja wa ndege tunacomment wapi?[emoji56]
 
Hamna ndege inabembeleza wateja kama air tanzania...ukishacheck in na hujaingia kwenye ndege wanakutafuta hadi choooni...nimeshuhudia mhudumu wa air tanzania akimtafuta passenger alie check im kwa dakika 10 ...hadi akampata...diamond hakuchek in..alichelewa
 
Eti kuna braza hapo juu kama ulikuwa ndani ya ndege ulijuaje Diamond kachelewa?!
 
Kama ticket yake ingekuwa imeuzwakama alivosema angeingia ndani.... alikuwa nje sababu alichelewa me nimeona yote utetezi tu..wateja wa fastjet walianza kulalamika ndani ya departure room hadi nje.. kwanin hakuweza kuingia ndani? Swali la kwanza
Diamond amejitetea je umeona utetezi wake?
 
Free of charge? Huwa mashirika ya ndege yana utaratibu wa kulipana bila kumsumbua mteja kama kosa ni lao, (mfano ndege ya shirika moja kupata tatizo wakati huo kuna ndege ya shirika lingine ina nafasi )..Wewe utapewa nafasi kwenye shirika lingine huku wahusika wakilipana either cash au kwa mfumo mwingine utakaokubalika (credit facility )
 
Back
Top Bottom