Diamond amechaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA

Wizkid jeuri sana mpaka sasa hajapost kitu kuomba kura ila kweli wamemfanyia dharau kutoa jina lake mwisho kuliko wengine
 
afu kuhusu scandal, Mbona mziwanda sijamuona?? mbona kiba sijamuona na kiki za kujifanya yupo level moja na King of Afropop Platnumz??
 
Mkuu skendo zinasaidia kuwa juu bila kazi yeyote kwani wema na agness masogange ana kazi gani mjini kawa maarufu kushinda belle9tz we usifanye chochote kuwa na skendo tuu unakuwa na jina kubwa mjini ila sio kwa upande wa awards wizkid anazarau na ni jeuri sanaa yule dogo
 
Platnumz nooooma saana anatisha kama Magufuriiiii
 
Team diamondplatnumz for life..

Mtu mwenye bongo flavour yake..

Nooma sana huyu mtu
 
TEAM DIAMONDPLATNUMZ FOR LIFE..

MTU MWENYE BONGO FLAVOUR YAKE..

NOOMA SANA HUYU MTU,anatiisha sana kama Michael Jackson
 
Back
Top Bottom