Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizkid best in Africa hayupo et daa skendo zinasaidia sana
Wizkid best in Africa hayupo et daa skendo zinasaidia sana
Wizkid jeuri sana mpaka sasa hajapost kitu kuomba kura ila kweli wamemfanyia dharau kutoa jina lake mwisho kuliko wengine
Mkuu skendo zinasaidia kuwa juu bila kazi yeyote kwani wema na agness masogange ana kazi gani mjini kawa maarufu kushinda belle9tz we usifanye chochote kuwa na skendo tuu unakuwa na jina kubwa mjini ila sio kwa upande wa awards wizkid anazarau na ni jeuri sanaa yule dogoafu kuhusu scandal, Mbona mziwanda sijamuona?? mbona kiba sijamuona na kiki za kujifanya yupo level moja na King of Afropop Platnumz??
Mkuu skendo zinasaidia kuwa juu bila kazi yeyote kwani wema na agness masogange ana kazi gani mjini kawa maarufu kushinda belle9tz we usifanye chochote kuwa na skendo tuu unakuwa na jina kubwa mjini ila sio kwa upande wa awards wizkid anazarau na ni jeuri sanaa yule dogo
Na bado. Mshajinyookea.
Kijana success zina flow tu. Keep on hate. Mazafantaz
Watu wa kaskazini hatumpigii kura tena
Sema wewe humpigii kura, sio watu wa kaskazini
Mi yangu kapataaaaaa
na ushindi kashapata tayri
Team magufuriii
team diamond
kwa tz wa kaskazin n wangap,piten kushoto.....Watu wa kaskazini hatumpigii kura tena
kwa tz wa kaskazin n wangap,piten kushoto.....
haha waulize Mtv wenyewe wanamjua, na hao ndio wanamuziki top Africa nzima
​hao ndio wasanii wa5 bora africa nzima umeipenda haukuipenda habari ndio hiyo.
​Unakiherehere wewe wapi komenti yangu ilipotaka msaada ???????????So.....?!tukusaidiaje?!
​Unakiherehere wewe wapi komenti yangu ilipotaka msaada ???????????