Diamond amefikisha followers mil 7 leo


Huyu mtu tunayemjadili hapa ninani kwangu..

Anamchango gani katika maisha yangu ya kila siku..?

Mziki wake sisikilizagi, radio yake siisikilizi...

Kuwa seriously mkuu, tuna mambo mengi sana ya kufanya kama vijana. Usikubali media zikufanye mjinga...

All in all he's nothing to me....!
 
Hivi kupata hizo fillowers inafaida gani kunampunga wanapata?
 
Mimi ninao wawili(2) mke wangu na hawala mmoja. Sema sipendi shoo ofu
 
jamaa anajua wanaoponda ni chuki tu na wivu. halafu naona wasomi ndo wana hasira maana wanaona bwana mdogo hakusoma na maisha ametusua wakati wao wamezeekea mashuleni na bado wanazunguka na maabahasha.
 
So what? Akili za namna hii ndio maana kuna mawaziri wanatukanwa wapumbavu na wanakenua meno tu!
Sijui nani katuloga aisee...
Huyo ni celebrity hakuna tatizo kuandikwa humu, kwanini kila jambo mnalijadili kwa hasira
 
Yani unaacha shughuli zako unaandika kitu kama hiki kweli?aisee wabongo kutoka kimaisha ni kazi sana
Huku ni celebrities forum, kama unataka kutoka kimaisha nenda jukwaa la ajira ukatafute kazi
 
hata kiba anao zaidi ya hao sema hapendi show off tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…