zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,205
- 1,880
Hiyo ni roho ya kuzimu ikemee,ununahakika gani ni ghost? Kuboresha maisha ya familia take sio jambo zuri ? Mamilioni aliyomtibia yule dada china?Misaada aliyomwaga mbagala na tandale angekuwa teja huko ndo ungempenda? ,mungu amlinde Huyu na awasaidie wanaohangaika wengine watoboe
Huyu mtu tunayemjadili hapa ninani kwangu..
Anamchango gani katika maisha yangu ya kila siku..?
Mziki wake sisikilizagi, radio yake siisikilizi...
Kuwa seriously mkuu, tuna mambo mengi sana ya kufanya kama vijana. Usikubali media zikufanye mjinga...
All in all he's nothing to me....!