Mwanamziki nguli na number 1 diamond platnumz amefikisha followers mil 7 kwenye account ya insta pia hiv karibuni alifikisha subscribe mil 2 siku zinapozidi anazidi kuongeza fan base nje ya nchi baada ya kuwa maarufu Sana Tanzania.Msanii huyo hiv karibuni alikaa mwaka mzima bila kutoa wimbo ila Sasa amesha achia ngoma mbili inama na the one zinafanya vizuri ndani na nje ya nchi na kumuongezea wigo wa mashabiki.