Diamond amefikisha followers mil 7 leo

Diamond amefikisha followers mil 7 leo

Hivi Serena Gomez ana followers wangapi ?
 
Kapitwa hadi na Ariana Grande 157,637,759 followers. Alipokua mgonjwa alistopisha shughuli zake zote ili kuokoa uhai wake
Kapitwa na huyo cr7 wakati alikua anangozaga..duh
 
Maliza kazi kwanza
61592980_1130942780417619_2179481359761223573_n.jpg

Umeona wapi pameandikwa cr7?
 
Mwaka mzima bila kutoa wimbo? Unamzungumzia Diamond yupi huyo?
 
Back
Top Bottom