Ni kweli ameiga baadhi ya sehemu, ila nadhani amefanya hivyo kwa nia nzuri tu ya kuappreciate kazi ya mondi, ila sasa kama mondi ndo angeiga hapa mjini pasingekalika.
Je unaweza pia kusema kuwa video original ya My Number One ilikuwa imekopi Beautiful Onyinye? Ni afadhali kila wimbo na video viwe vinaangaliwa independently kuliko kulinganisha na nyingine kwani hata hii ya hivi majuzi ya Kidogo inaonekana kuwa kopi ya video kadhaa zilizotangulia.