Diamond ameigwa na mnaijeria huyu?

Diamond ameigwa na mnaijeria huyu?

Hamna kitu hapo, mbona amesikika siku nyingi sana ila hasogei popote, anahit moja tu hadi Leo, wenzake wanazo zaidi ya 10
Yeah . ila nimesema kwamba anakuja vizuri kwenye gemu. It will take time of course
 
Idea ya video kishule shule kama Video ya Sauti Sol Soma pia sio Mondi tuu
 
halafu kuna mahala walitaka kucheza ile style ya bado ,diamond na harmo
nahisi ikawashida
 
Kazi Kweli kweli

Sent from Microsoft Lumia 950xl Lte
 
Je unaweza pia kusema kuwa video original ya My Number One ilikuwa imekopi Beautiful Onyinye? Ni afadhali kila wimbo na video viwe vinaangaliwa independently kuliko kulinganisha na nyingine kwani hata hii ya hivi majuzi ya Kidogo inaonekana kuwa kopi ya video kadhaa zilizotangulia.
 
Back
Top Bottom