Me mbona sio mpenzi wa CCM mbona nashabikia mziki wake achani kumpangia wapi pakushabikiaWako wapi Sasa kimziki hao unaowasema. Mimi Ni shabiki mkubwa wa diamond, najivunia kuwa na mtu Kama yeye kwenye industry ya music, anathubutu, napenda awe focused kwenye Sanaa ili awe huru kupata mawazo na support ya watu wote iwezekanavyo. Siasa zetu bado Ni changa Sana kuzishobokea, zina mengi sana bado.
Hata mpira wetu bado unazo changamoto nyingi sana, hasa Simba na Yanga ambao wanashangilia timu ngeni kwenye mashindano sembuse Diamond.