Diamond amejibana kwenye Kona ya CCM na Simba

Diamond amejibana kwenye Kona ya CCM na Simba

Wako wapi Sasa kimziki hao unaowasema. Mimi Ni shabiki mkubwa wa diamond, najivunia kuwa na mtu Kama yeye kwenye industry ya music, anathubutu, napenda awe focused kwenye Sanaa ili awe huru kupata mawazo na support ya watu wote iwezekanavyo. Siasa zetu bado Ni changa Sana kuzishobokea, zina mengi sana bado.


Hata mpira wetu bado unazo changamoto nyingi sana, hasa Simba na Yanga ambao wanashangilia timu ngeni kwenye mashindano sembuse Diamond.
Me mbona sio mpenzi wa CCM mbona nashabikia mziki wake achani kumpangia wapi pakushabikia
 
Kila shughuli Ina miiko yake. Unapoazimia kuwa mwanamusic mkubwa saana everybody counts. Huku kwetu mambo yetu hayajanyooka Kama huko kwa wenzetu. Hapa kwetu siasa Ni ugomvi wa kuchomeana nyumba na ofisi, kuuana, uhasama. Simba na Yanga Ni uhasama pia wa kufa mtu. Usimlinganishe huko na huku.
Ameanza kuiimbia CCM toka enzi za jakaya, Hayo yote uliyaoyaelezea yamemtokea?
 
Back
Top Bottom